Sunday 29 June 2014

R.I.P BROTHER FUNDI ALLY KIPANDE, I CAN'T TAKE IT ANYMORE!!!

HATA MWAKA HAUJAISHA TOKA TUMPOTEZE KAKA MKUBWA MWALIMU ISSA, LEO TUNAPOTEZA MTU MWINGINE MUHIMU KATIKA FAMILIA. MPIGANAJI MWINGINE TENA AMELALA MILELE WAPENDWA. KWETU SISI HILI NI PIGO ZAIDI YA PIGO. SIPATI NENO SAHIHI LA KUELEZEA UCHUNGU WANGU ZAIDI YA KUSEMA I CAN'T TAKE IT ANYMORE. OOOOH LORD HAVE MERCY!! TUTALIA MPAKA LINI SISI?? NAOGOPA SANA KUKUFURU MUNGU WANGU ILA NAHISI NDIKO NINAKOELEKEA. NISAMEHE MUNGU WANGU ILA TUHURUMIE PIA BABA. NANI ATASIMAMA NA SISI KAMA WAPIGANAJI WOTE WANAONDOKA??? LALA SALAMA KAKA YANGU MPENZI NA NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AKUPUNGUZIE ADHABU YA KABURI.
KAKA FUNDI MWENYE FULANA YA MISTARI

KAKA YANGU ALIKUWA SPORTSMAN PIA, ALICHEZA KAMA GOLIKIPA SIKU ZOTE. NAKUMBUKA SIKU ALIYOKUJA KUNIONYESHA HII PICHA NILIKUWA NAPIKA JIKONI, HE WAS LIKE, ULISHAWAHI KUTOLEWA KWENYE BLOGU WEWE NA KUCHEZA KWAKO KOTE MPIRA?? CHEKI MIMI HAPA KWENYE MICHUZI BLOGU. HE WAS SO FUNNY, CARING AND SHARING.

KAMBAKU LETU JAMANI, HEBU ONA HAPA ALIKUWA BONGE YA MTU. WA KWANZA MWENYE FULANA NYEKUNDU. R.I.P BROTHER

Tuesday 10 June 2014

I MISS YOU MAMA, WISH YOU WERE HERE NOW.

 
Mama, inapofika kipindi kama hiki tunachopitia katika familia, huwa nautamani uwepo wako. Mama tupo kwenye wakati mgumu na unajua mama. Nimejitahidi kulichulia poa toka jana nilipolipata nahisi kushindwa mama. Please mum pigana na sisi, simama na sisi bado tunahitaji msaada wako kwa nguvu zote. Unakumbuka uliwahi kusema kuwa utafanya lolote hata liwe gumu kiasi gani kwa ajili ya watoto wako?? Wakati wa kufanya lolote umefika mama, najua yote yasingetokea kama ungekuwepo, na hata kama yangetokea si kwa kiasi kikubwa.Eeee Mungu tuhurumie baba maana tumechoka kulia. Tusimamie baba.

Samahani kwa kuliweka hili hapa ila nahisi labda moyo wangu utafunguka japo kidogo maana nimekabwa mpaka nahisi kushindwa kuongea. Mama tusaidie kurejesha furaha yetu mama. MISS YOU MUCH MAMA KATIBU AND LOVE YOU ALWAYS. R.I.P MUM

PENDEZA SANA MADAME

Screenshot_2014-06-08-06-45-22-1




BAADA YA MTOTO WA BOKSI 'NASRA MVUNGI' KUFA WAZAZI NA WALEZI WAKE KUSOMEWA MASHITAKA UPYA

 Watuhumiwa wakiwasili mahakama
ya hakimu mkazi mkoa wa Moro




























credit: Shekidele