Monday 30 May 2016

NO COMMENT



Dakika chache kabla ya Show Vanessa Mdee akiwa backstage alinukuliwa akisema“Kiukweli haukuwa ugomvi bali tulijaribu kuwaonesha watu kuwa usiamini kila unachokiona kwenye mitandao, namuheshimu sana Shilole katika kazi zake, lakini baada ya sisi kufanya vile watu walionekana kama wanataka kuona sisi tukigombana”

Huenda wewe ulikuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wameshtushwa na taarifazilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa bifu bali ni promo ya show yao ya pamoja waliofanya usiku huo.















Vanessa alimsurprise Shilole On Stage kwa kumletea zawadi ya ugali kwenye stage







MAMBO YA MJINI HAYA!!!!



BAADAYE SHOGA NAYE AKAANDIKA

 

DUH ZILINIPITA, SIJUI NILIKUWA WAPI WALLAH