Friday, 21 December 2012

MWANAMKE AMLAZA CHOONI KWA SIKU TANO MSICHANA WAKE WA KAZI


NASHINDWA KUJUA NIANZIE WAPI, JANA WAKATI NAANGALIA TAARIFA YA HABARI YA TBC YA SAA MBILI USIKU NILIKUTANA NA HABARI INAYOZUNGUMZIA MWANAMKE KUMLAZA CHOONI MSICHANA WA KAZI. KWANZA SIKUTAKA KUAMINI LAKINI YULE MTOTO ALIVYOELEZEA NA MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA ALIVYOELEZEA NIKAJIKUTA NAKUWA MPOLE NA MACHO YANGU KUJAA MACHOZI. UNAMLAZA CHOONI MTOTO WA MWANAMKE MWENZIO KWA SIKU TANO HATA KAMA ALIKUWA KAKOSA NINI LAKINI HIYO HAIKUWA ADHABU YA KUKUFANYA UFIKIE HAPO. NASHINDWA KUJUA SISI WANAWAKE TUNA TATIZO GANI MPAKA TUNAFIKIA KUWA WANYAMA WABAYA KIASI HIKI. HEBU FIKIRIA WEWE UNAYESOMA HADITHI HII UNAWASHA TV KUANGALIA TAARIFA YA HABARI HALAFU UANKUTANA NA TAARIFA KUWA MWANAO KALAZWA CHOONI KWA SIKU TANO UTAKUWAJE? HALAFU KUMBUKA SIO CHOO KIZURI KAMA UNACHOFIKIRIA NI CHOO CHA SHIMO CHENYE SAKAFU ILIYO BANDUKABANDUKA HALAFU ANAFANYA DEMO KABISA JINSI ANAVYOLALAGA. MIMI SIJUI WAMAMA TUNAENDA WAPI KWA KWELI, ETI UNATOKA KUOGA MTOTO ANAVUA SKETI YAKE ANAKWENDWA KUZOA MCHANGA ILI AMWAGIE YALE MAJI KULE CHOONI ILI AWEZE KULALA JAMANI JAMANI WANAWAKE HIVI NI KWELI TUMEFIKIA HAPO?? NIMEAMUA KUANDIKA ILI KWA KUWA NAUMIA SANA KILA TATIZO LA ROHO MBAYA NA UKATILI KWA WATOTO MARA NYINGI CHANZO NI SISI WANAWAKE AMBAO TUNAAMBIWA KUWA NI WATU WENYE HURUMA KUPITILIZA, HURUMA YETU IKO WAPI KWENYE HILI?? NAKUMBUKA NILIWAHI KUWEKA POST YA WANAWAKE KUZIDIWA AKILI NA KUKU KWA VITENDO VYAO VYA KUTUPA WATOTO KILA KUKICHA. NADHANI IMEFIKA WAKATI SISI WANAWAKE WENYEWE KUAMUA YA KUFANYA KWA WANAWAKE WA DIZAINI HIYO. JANA WAKATI HABARI INAENDELEA KUNA MWANAMKE ALISEMA "MTOENI TUMFUNDISHE ADABU KIDOGO" KWA KWELI HAKUKOSEA KWENYE HILO. ALITAKIWA KUADABISHWA KIDOGO ILI WENGINE WENYE AKILI MBOVU KAMA ZAKE WAJUE WANACHOFANYA SIO SAHIHI. NIMEANDIKA MENGI SANA ILA NAHISI KWA SABABU YA HASIRA NILIYONAYO KWENYE HILI. WANAWAKE WENZANGU KAMA TUNATAKA MAENDELEO NI KUANZIA NYUMBANI NA SIO KWENYE MACHO YA WATU. MTOTO WA MWENZIO NI MWANAO KWA NINI USIMLINDE? MNATUPA JINA BAYA WANAWAKE WOOOOTE, UTASIKIA WANAUME WANASEMA "WANAWAKE BWANA" HAPO NI KWAMBA TUMEUNGANISHWA WOTE BILA KUJALI NANI WALA NANI. TUNAWEZA KUBADILIKA KAMA TUNAAMUA. 

PUPPLE FRIDAY

BABY GOT BACK

POZI LESS

MAPOZI MENGINE BWANA SASA UNAGOMBANA NA MTI AU?

WOOOOOOOH

THANKS BABY 

MPIGA PICHA MUHUNI ILE MBAYA, NINI HAPA

CHILLING


MY MPIGAPICHA OLIVER SAKAYA

POZI LA KICHAGA KABISAAA ILA AMEPENDEZAJEEEE

UNAKIMBIA AU???

MAMA WEEEEEE!!

UNANIKUBALIA KUWA POZI LA KICHAGA?????

NA KINGEKUWEPO MNGEKOMAJE??




I LOVE THIS PICTURE, NO REASON



NINATIAJE HURUMA SASA

NAITAMANIJE LIKIZO SASA, MAANA KITU CHOKA MBAYA

PUPPLE LIPS, I LOVE MY LIPS

NAUGHTY 
THANK YOU VERY MUCH

Wednesday, 19 December 2012

GOOD MORNING, NINA HAMUJE NA CHRISTMAS?









POZI ZINGINE ZINAWEZA ZIKAKUBADILISHA SURA KWA KWELI


OOOOH, TOILET MOMENTS




SIO MIMI LAKINI

Tuesday, 18 December 2012

CHRISTMASS IS AROUND THE CORNER, SING AND TRY TO CELEBRATE


This is rehearsals for chrismas.


 





MY FRIEND, MY MSUSI AND MY SWEETHEART OLIVER SAKAYA

SHE IS CUTE, A BABY FACE

ANAWEZA KUJIBADILISHA MUONEKANO APENDAVYO

SHE IS CHARMING, NIKAJUA KARATE

SHE IS COOL SOMETIMES

SHE IS LAZY TOO, HIZI POZI ZINGINE KAZINI SIO MAHALA PAKE

SHE IS LOVELY

KUNA TATIZO PIA KWENYE TABASAMU, INABIDI TUFANYE MAZOEZI
HUWA ANATOKA PIA KAMA M'MAMA HADI RAHA

WANJA TU MI HOI KIDOGO

HIZI NYWELE ALIWAHI KUNISUKA YEYE, NI MSUSI MZURI PIA. ME LOVE YOU MINGI

Monday, 17 December 2012

WEEKEND HII ILIKUWA KAZI TU, HAKUNA KUZUGA

WEEKEND ILIKUWA NGUMU HATA KUCHANA NYWELE NILIONA NITACHELEWA NA NDIO SABABU YA KUWEKA HIYO CHOPA
KICHEKO GANI HIKI? WIZI MTUPUU

AFADHALI KIDOGO KHAAA

CUTIE ME!!! UTAJIJU NA SIKULAZIMISHI

KAMA SIONI VILEEE

SOMETIMES MPIGA PICHA WANGU ANANISHANGAZA TU. HII ILIKUWA JUMAMOSI

JUMAPILI

HUO MDOMO UNATAKA KUANGUKA? AU NDO POZI

SI NIKAONA NIJARIBISHE MACHO MENGINE? NIKAISHIA KUPIGA PICHA NA KUYAACHA HUKO HUKO NDANI MAANA MNYAMWEZI ANAKUAMBIA MASHIKOLO MAGENI

WACHA WEE

NIKAJARIBU KIDOGODOGO NAYO WAPI NIKAONA AKAZI TU

LOOK AT ME, UNANIONA KWELI ME MBONA SIKUONI?

NIKAONA HUU NDIO MWANZO WA KUVAA NIWANI UNANYANYUA MIGUU UNAONA HAIJAFIKA KUMBE ILISHAFIKA KITAMBO UNABAKIA KUCHEKESHA WALIONUNA TU 
BYE BYE MY PEOPLE, LUV YOU MUCH