CREDIT: 8020 FASHIONS
BIRTHDAY GIRL ::WEMA SEPETU
VENUE ::MJENGONI KWAKETHEME ::FIERCE & FABULOUS 26
COLOUR ::WHITE &PINK
DRESSCODE :: WHITE
DECOR ::PARTYBOX
MENU ::TERRANCE LOUNGE
MAKE UP ::GLAM BOX
DRESSED BY ::J&M VIRGO
DETAILS ….KAZI YA VIVID CREATION
BIRTHDAY GIRL AKAINGIA
‘AHSANTENI KWA KUJA KUJUMUIKA NAMIMI…….NAPENDA BIRTH DAY YANGU KULIKO SIKU YOYOTE, HATA MAREHEMU BABA ANGU ALIKUWA ANAJUA’
KINYWAJI MLIPUKO…..DON PERINYOOOO…….Namfue tamka kwa kizungu….nilisikia ikitajwa bei ni laki tano
akikata kiu
MAPAPARAZI TULIKUWA WENGI….WA KUSHARE KWA GROUP ZA WHATTS UP, WA INSTAGRAM , WAKUWARUSHIA MASHOST NA SISI WA MABLOGUNI…
MUDA WA ZHAWADIII KAKA MENEJA ALIITA SUPRIZE TYME AKAMKABIDHI NDINGA AMBALO ALIELEZEA IMETOKA KWA WADAU WANAOMSUPPORT WEMA NA WANAOPENDA WEMA AISHI KAMA SUPERSTAR WA KWELI……mengineyo waachie Baba na Mamaa
TUKABADILI KIVAZI KWA AJILI YA BBQ PARTY…MAANA TULIANZIA MCHANA
MAMA SEPETU YE ALIKUJA NA KIKUNDI CHAKE CHA JEMEDARI, NA ALISEMA YE HATUNZI GARI WALA PESA KAMA KINA LULU REJEA INSTAGRAM YA @8020FASHIONS KUONA VIDEO , YE NA NI MAMA WA KIAFRIKA NA ANATUNZA KIAFRIKA HIVYO ALIMKABIDHI WEMA KANGA NA VITENGEEE…….
TEAMWEMA SEPETU NAO WALIKUWEPOOOOO
NA ZAWADI WALIZOKUWA WAMELETA ZILICHANGWA NA HAO HAPO JUUU…..watu na team zao MAMA SEPETU ALIKUWA NA YAKUONGEA KWA TEAM ZA WEMA NA WAGENI TULOKUWEPO………unataka sikia aliongea nini …..Niwhats up
KAGIZA KALIVYOKOLEA NIKASIKIA KUNA SUPRIZE NAMBA MBILI , BI SANDRA MAMA MKWE MTARAJIWA AKA MAMA WA DIAMOND ALIKUJA KUMKABIDHI BI SHOST ZAWADI YA GARI KUTOKA KWA BEBI WAKE
ZAIDI YA GARI ALIKUJA NA NDAFU……HII KITU YA KULE KWETU MGOMBANI…ILI MRADI TASHTITI TU MAANA KEKI ZILIKUWA NYINGI MNOOO BORA ALIBADILI TEST NA NDAFUNA HII NI TEAM WEMA YAPILI ILOKUJA NA KAGIZA GIZA….SHURTI KWA KUTINGA TSHIRT NA MIJICAKE
MOMENTS…..HAPA NA PALE…HUKU NA KULE
DA KHADIJA MASELFIE…….samahani Khadijaaaa……….
NIMEGUSWA NA EYE SHADOW ZULIANI……..REDCARPET
No comments:
Post a Comment