SI MNAJUA MI MTOTO WA TANDALE? SASA TOKA JANA NIMERUDI HOME KUMUONA BABA. SI UNAJUA USWAHILINI HAKUISHI VITUKO? HAPA NILIPO NAJIAANDAA KWENDA KWENYE KIGODORO JIRANI HAPO KESHO KUNA HARUSI. SIJUI NITOKEJE? SIPATI JIBU UJUE. ILA NINA TATIZO NINAVYOPENDA USINGIZI SIJUI ITAKUWAJE. NGOJA NIKAVUTE MUDA MIE KABLA YA BIRTHDAY YANGU.
HIZI PICHA ZA SIKU NYINGI KIDOGO NIMEZIKUTA KWENYE LAPTOP YA ANNA NIKAZIPENDA. UMEONA GAUNI YANGU? BILA KUNYOSHA MWAKWETU.
No comments:
Post a Comment