Thursday, 29 November 2012
Wednesday, 28 November 2012
Tuesday, 27 November 2012
GOOD MORNING MY GOOD PEOPLE
Chibonge weeeeeeeee
Hi there, niacheni mnyamwezi wa watu nipige picha, mnanisalimia nini??
Ndo nshanuna sasa
basi hasira yangu imeisha, nabatasmu kiduuuuchu
Huyu camera man huyu sometimes simuelewi ujuee
Wacha wee pozi hilooo
Nywele zetu hizi za bei nafuuuu ila zimependeza mwakweru
Hapa ndo sikujua mpiga picha alikuwa na lengo gani me nimeikuta tu kwenye camera nami nimeitumia
Uso wenyewe ulivyo mbaya halafu kanuna, kaaazi kweli kweli
Afadhali kidogo
Monday, 26 November 2012
MY WEEKEND LOOK
SATURDAY, NATURAL ZAIDI
Nilikuwa receptionist kwa muda, unapendezaje ukikaa kwenye kazi za watu?? full kuchanganya maneno na namba
Did you see my jinja?? i love love
Nimetoa macho kama mjusi kabanwa na mlango sio kupenda nishaharibu hapo
Kama mwanamke vileeeee, hadi raha
SUNDAY LOOK, JINJA KULEEEE
Nikiwa njiani kuelekea
Uso mkavuu, mimacho sasa
Wacha wee pozi hiloo
Macho makavuuuu
Kwani umelazimishwa kupiga picha?
uso umenonaje sasa?
Tabasamu la kichokozi
Baadaye nikabadilika kuwa hivi, nilikuwa naenda Dragonairs kwenye sherehe ya kuwaaga wageni waliokuja kikazi kiwandani kwetu
Kiss kiss
Wewe tulia basi japo kidogo mbona una haraka? sura mbayaaa
Sielewi sijui mpiga picha kalewa
Uongo mtupu kicheko gani hiki?
Somehow!!!
Naughty
Nimemalizaaaaaaaa, see ya
Friday, 23 November 2012
I MISS MY FELLOW TEAM MATES
SHIMMUTA TANGA 2009
HII NDIO ILIKUWA TIMU YA KWANZA YA NETBALL YA ALLIANCE ONE
KUNDI AMBALO SIWEZI KULISAHAU TULIKUWA KAMA TUMETOKA FAMILIA MOJA.
POZI LA KIZAMAAANIIII
HAPA NILIKUWA NAONGOZA MAZOEZI KABLA YA MECHI
I MISS YOU GUYS, ILA NITAPIGANIA TURUDI HIVI TENA
Hii ni experience ambayo siwezi kuisahau, tulivuta kamba tukatoka droo mara 2 ikamuumuriwa tuvute kwa mara ya mwisho na atakayevutwa anatolewa, tukafanikiwa kuvuta ila hii ilikuwa ndio mara yetu ya kwanza kuvuta kamba. kesho yake tulikuwa na mechi ya netbal na CDA Dodoma. tulifungwa 37-5 maana tuliamka wagonjwa wooote. nikaapa kuwa sitavuta tena kamba na hivi nilikuwa najifanya baunsa!!
Mbayaaaaa na ndio maana waliniweka mbele ili nitishie tunaovutana nao.
Mtanisamehe kwa quality ya picha
Unaweza ukakubali kweli kuwa huyu alipo hapo mbele ni mwanamke?? kuna mmoja aliwahi kumuonyesha mwanae kuwa huyu dada ndio tuliyekuwa nae kwenye zile picha za kamba, mtoto akamwambia tena mbele yangu mama mi nilidhani yule mwanaumeee.
Kocha Maganga akituhamasisha, ni mwalimu bora kati ya walimu tuliowahi kuwa nao
Wacha weeee, me simooo
SHIMMUTA ARUSHA 2010
My fellow
My family
Kwenye mashindano haya tuligoma kabisa kuvuta kamba, ilikuwa ni netball tu. hatukutaka shida ya kuumwa na kufungwa magoli kama mmesimama.
Nikitimiza wajibu wangu kama nilivyotumwa na kampuni, chezea mimi weweeeee
Siku hii nilikuwa na pilika pilka za kutosha nakumbuka huyo GK nyuma yangu ndo alikuwa na mimi na kunifanya nikae nje mpaka mashindano yanakwisha. hii ilikuwa mechi ya robo fainali
Nachechemaaaaaaa
Nikipatiwa huduma ya kwanza
GA wetu Jamila Sabu akiwajibika. ilikuwa combination nzuri sana uwanjani
MEI MOSI MOROGORO 2011
Kwenye mashindano haya nilikuwa busy na kazi kwa hiyo sikushiriki kivile sana, nilisimama kama kiongozi tu
Happy family
LIGI DARAJA LA PILI DODOMA 2010
Hapa tulicheza tulivyoweza tukaambulia nafasi ya nne na walikuwa wanapanda watatu tu, nitahakikisha tunarudi hapa tena.
LOVE YOU ALL GUYS AND MISS YOU MUCH
Subscribe to:
Posts (Atom)