Saturday, 26 October 2013
Thursday, 24 October 2013
SIJUI ILIKUWAJE NKAZIPOTEZA, NDO NIMEZIONA LEO. ILIKUWA HITMA YA KAKA MWL.ISSA
ASMAH, MY CUTE LIL ANGEL. KAKA FUNDI'S SECOND BORN. SITAKI KUSEMA LAST BORN NAJUA KUNA MWINGINE AJA
MISS YOU ASMAH
AMINA, ANOTHER LIL ANGEL OF MINE
MMMMMH JAMANI MAPOZI HADI MSIBANI!!!
HAPA NILIKUWA NA UPDATE KITU KWENYE BLOG, KWANI NILIFANYA BASI?? HIZO VURUGU ZAKE NKAISHIA KUMBEBA NA KUTOKA NJE NA KAZI KWISHNEY
YEYE MWENYEWE HAPA RAHA MUSTAREHE KWA RAHA ZAKE FULL KUTABASAMU
NYIE KWANI VITI VIMEISHAAAA
MY MUM, ANGEL AND EVERYTHING
KAMA WANAONEWA VILEEEE
MMMMMMMH HUYU KUKU ALIKUWA ANAMDONDOSHA MTU MATE JAMANI. AKACHORA PICHA TAYARI YUPO KWENYE SAHANI ANAKULA. OOOOPS SORRY SIS.
WOOOOOOOW!!!!
ME SIELEWI UJUEEEEEE, NSAIDIENI
OLIVER, KACHAFUKAAAA MPAKA RAHAA
KAMA MTU VILEEEEE
MAMA PEKEE NILIYEBAKIZA KATI YA WATATU WALIOZALIWA PAMOJA. MA MKUBWA WA MIMI BINTI MAHIMBALI A.K.A NDALI. LOVE YOU MAMA
AM COUNTING ON YOU FOR EVERYTHING MAMAAA
Subscribe to:
Posts (Atom)