Saturday, 26 July 2014
Friday, 25 July 2014
HIMILI ISSA KIPANDE, IMETIMIA MWAKA SASA KAKA.
LEO TAREHE 25.07.2014 UNATIMIZA MWAKA TOKA ULIPOTUTOKA KAKA, UMEKUWA MWAKA MGUMU NA WENYE MASHAKA NA MACHOZI MENGI MNO KWETU. KILA KUKICHA GAPE ULILOACHA LINAZIDI KUONEKANA KAKA. KUNA WAKATI HUWA NATAMANI KAMA UNGEKUWEPO MAANA NAJUA KISINGEHARIBIKA KITU. KAKA, WEWE ULIKUWA NGAO MUHIMU SANA KWETU TOKA KUFARIKI KWA MAMA, LAKINI MIEZI MICHACHE BAADAYE UKAENDA NA KUTUACHA KWENYE DILEMA ILA YOTE MIPANGO YA MUNGU. NAJUA BADO MNAENDELEA KUTUSIMAMIA KAMA ILIVYOKUWA KAWAIDA YENU WEWE NA MAMA. ENDELEENI KUPIGANA NA SISI KATIKA YETU YOTE TUNAYOPITIA MAANA BILA NYIE HATUWEZI. NILIKUPENDA SANA KAKA, NAKUPENDA SANA NA NITAENDELEA KUKUPENDA MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU ILI TUKUTANE TENA SIKU YA MWISHO. MAANA WEWE NDIYE ULIYEKUWA BEGA LANGU LA KULILIA YANGU YOTE. EEEEE MWENYEZI MUNGU NAOMBA UENDELEE KUMPUNGUZIA ADHABU YA KABURI KAKA YANGU KIPENZI. LALA SALAMA KAKA YANGU MWL ISSA.
Wednesday, 23 July 2014
Monday, 21 July 2014
Friday, 18 July 2014
Thursday, 17 July 2014
Wednesday, 16 July 2014
Tuesday, 15 July 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)