Wednesday, 26 November 2014

HAPPY 70TH BIRTHDAY DAD, LOVE YOU VERY MUCH

LEO NI SIKU MUHIMU SANA KWA BABA YANGU MZAZI KWANI ANATIMIZA MIAKA 70 YA TOKA KUZALIWA KWAKE. NAHISI MIMI NINA FURAHA ZAIDI YAKE. FURAHA YANGU NI KUWA NA BABA BORA KAMA YEYE AMBAYE AMETIZA MIAKA HIYO 70 NA BADO YUKO VILE VILE TOKA NILIPOMFAHAMU MIAKA KADHAA ILIYOPITA. NAMPENDA SANA BABA YANGU NA NATAMANI NA KUMUOMBA SANA MUNGU AENDELEE KUNITUNZIA MZEE WANGU. NAJUA MAISHA BILA YA MAMA NI MAGUMU LAKINI NASHUKURU MUNGU KWENYE MIAKA HII MIWILI BABA AMEWEZA KU YA CONTROL BILA BAUNSA WAKE. YEYE NDIO KILA KITU KWETU SISI NA NINA HAKIKA HATUTAWEZA/TUSINGEWEZA KUWA SISI BILA YEYE.  NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUNICHAGULIA WEWE KUWA BABA YANGU.

KEKI ALIYOANDALIWA NA LAST BORN WAKE, CHIBE

PICHA HII IMEPIGWA MUDA MFUPI ULIOPITA YAANI LISAA HALIJAISHA. AKIENDELEA NA KAZI ZAKE


 
Happy birthday to the wisest man
I’ve ever had the pleasure to know
Thank you for the lessons,
For all the life lessons you’ve shown…
To me as I’ve traveled on this road of life
It’s because of you I have what I have
So I’m telling you happy birthday right now
To my wonderful and wise old dad
 
Words could never express the love I have for you
The way I’ve admired every moment of your life
And the way I’ve laughed with you
And appreciated the many years of your advice

I thank you for raising me
For loving me and for teaching me your ways
And I wish you all the love in the world
On this, your 70th birthday

 
I love my dad more than life itself
And respect him above all other men
Today he turns 70 years old
And I’m here to say happy birthday again.




MWANZO ALITENGENEZA HIVI, HUYU MTOTO HAYUKO SAWA KWA KWELI DIH

TEH TEH TEH!!!


GOOD MORNING, IT'S ME, MYSELF AND I

A DECENT GIRL


MAMA KIBONGEEE

SIJUI NINI KILITOKEA KWA KWELI

HAYA TUIMBE WOTEEE, MUNGU IBARIKI TANZANIAAAAA



NATAFUTA PA KUWEKA VITUMBUA VYANGU, ASUBUHI NGUMU JAMANI DIH



OFF I GO, GOOD DAY WAPENZI

Tuesday, 25 November 2014

GOOD MORNING FROM AUNTY AND TOTO

SALUTE OR?? LOVE YOU DEAR

MY HEART BEAT, MISS YOU MAMITO

NAUGHTY NAUGHTY

SHOSTITO MKONO HUO DUH

LOVE DA PIC, PENDEZA SANA NA TUTU DRESS YAKO

VERY HAPPY HADI RAHA

KARATE???

KITAMBI.COM


MAMA YANGU YEYE MUDA WOTE ANACHEKA TU

GOOD DAY GUYS, ME LOVE YOU TWO TOO MUCH