Moto ulianza kuwaka saa 9 vijana wawili wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 Aisha na Ahmed walisimama Mlangoni kuomba Msaada walifungua mlango mbao ukabaki wa Grill ambao walishindwa kuufungua majirani akiwemo Salama Ally Mjumbe wa Malapa wakawaaambia Aisha na Ahmed leteni funguo Aisha na Ahmed wakaleta funguo lakini majirani wakashindwa kufungua kwani geti la Grill lilikua limeshika moto.
Baaada ya jitahidi za kuokoa na kujiokoa kushindikana ndipo watu wote tisa waliopo ndani wakaamua kukaaa chumbani kwa Bibi yao anaeitwa Bim Mdogo na Bim Mdogo akawakumbatia na huo ndo ukawa Mwisho wa uhai wao.
Waliofariki ni
Samira - Mama mwenye nyumba
Aisha - Mtoto
Ahmed - Mtoto
Abdallah
Ashraph
Bim Mdogo - Bibi
Wadh ha na mwanae walikuja kutembea akiwa na mfanyakazi wake wa kike.