MAMA YANGU KACHOKA VIBAYAAAA, NA NDO KWANZA TULIKUWA DODOMA
SINGIDA
FATHER HOUSE
TUKALALA NZEGA, HOIIIIIIIII
WAKATI TUNAJIANDAA KUTOKA NZEGA
TUMEKALIA MGOGO NA MWANANGU TUKIFIKIRIA SAFARI TUNAYOYAKA KUANZA
TUKIIACHA NZEGA
VERY BUSY DEREVA TEH TEH TEH
BUSISI MWANZA KWENYE KIVUKO
HAPA MAMA YANGU ANANIAMBIA NIMSHUSHE AKACHEZEE MAJI, NILIMNG'ANG'ANIAJE???
MTU NA UNCLE AKEEEE
GEITA
WATU NA MAPOZI YAO YA KUONGEA NA SIMU, GUESS ALIKUWA ANAONGEA NA NANI
AUNTY NIPIGE PICHA BASIIIIII
TABASAMU LAKO TU MAMANGU
RAHA YA GEITA KILA SIKU MVUA, HAPA ILIKUWA IMEBWANDA VYA KUTOSHA TUKATOKA KUONA MAZINGIRA NJE
PEACE
MAPOZI TYMEEEEE
KIMOOOOOO
ASANTEEEEEEE
MWAAAAAAAAAH HILO BUSUU
AKALILIA, AKAPEWA
ANAICHEKELEA
ANAJIANDAA KUINYWA
BAADA YA KUNYWA SASA, UTAFIKIRI PAMPULA KAZIDISHA KILEVI
KWA MAPOZI TU SIKUWEZIIII
YEEEEEEYYYY
TUNAANZA SAFARI KURUDI HOME
HAPA WATU WASHALIA SANA KUMLILIA AUNTY ANNA
NZEGA AGAIN