Wednesday, 15 February 2017

MMMMMMH NA UZEE HUU KUTAFUTA KUCHEKESHA WALIONUNA TU

USHAWAHI KWENDA SALOON MWENYEWE HALAFU UKATENGENEZWA NYWELE IKIFIKA ASUBUHI UNAJIULIZA MARA TATU TATU KUWA MI LEO NAKWENDAJE KAZINI. HIVI NDO ILIVYONITOKEA MIMI ILA NILIJI BROTHER SUGAR CANE NIKATOKA. ILA AFTER THREE DAYS NIKAPARANGANYUA KILA KITU. HAYA MAMBO YANA WENYEWE BWANA MI MNYAMWEZI NAYAWEZEA WAPI.
 
DAY 1











 
DAY 2




























 
DAY 3





LIKE : NTAFANYAJE SASA