Wednesday, 3 October 2012

NATAMANIIIIII

LEO NDIO LEO, MWANAUME LAZIMA AJULIKANE TU

LEO NDIO LILE PAMBANO LA KUKATA NA MUNDU NA LAZIMA MWENYE MUNDU ATAONEKANA BAADA YA DAKIKA 90. MAJIGAMBO NAONA YAMEZIDI ACHENI KELELE TUSUBIRI DAKIKA 90 TUONE. MNA MBWEMBWEEEEEEE!!!


YANGA


SIMBA

SINA SWALI WEWE JE?? MTANISAIDIA KUWEKA MATOKEO KWENYE COMMENTS. WABHEJA SANA

QUOTE OF THE DAY

Your aspiration is your motivation, your motivation is your belief, your belief is your peace, your peace is your target, and your target is heaven.

Tuesday, 2 October 2012

MY SISTERS, MY FRIENDS, MY FAMILY, MY LOVE


HAWA WOTE NI DADA ZANGU, WAPENDWA WANGU AMBAO HUWA NA SHARE NAO MAZURI NA MABAYA YANGU MOST OF THE TIME, WOMEN WITH VISION I LOVE YOU ALL YOU ARE MY NUMBER 1 SUPPORT. THANKS GIRLS



3Kitila

Sauda Khalid

Lucy Leonard

Joyce Joseph




Neema Adrian

Adriana Mbipa
  

Eliza Sika the mwenyekiti

Teddy Ernest

  
                                    
Oliver Sakaya
Moi

 
Secky Nyakunga the mtunza mahelaaa



MAPOZZZZZZZZZ


I LOVE THIS PICTURE


UNAMKUMBUKA HUYU DADA?? NITOFAUTISHIE BASI

Nisaidieni mapozi jamani mwenzenu naumbuka hivi hiviii



Nilikuwa naonekana mdogo dogooooooo



Kipo kidogo acheni nijipe moyo jamani khaa
Mnisaidie kuchagua style, ile ya juu, ya tatu kutoka mwisho au hii ya jinja style.

Monday, 1 October 2012

PC YANGU INA ACT CRAZY SOMETIMES

computer yangu inajitia wazimu isiokuwa nao hivyo inanifanya nishindwe kuweka mambo yangu on time au sijui mitandao yetu ya kibongooo, aaaaaaah!!
Hii ndo nywele yangu, natural no lye.

this is me, myself and I

Yaani katika vitu nilivyoshindwa ni pozi mnyamwezi wa watu, kuna mtu anajua mapozi huko anisaidie?


Check it out guys, KITU KIMESOGEA MBAYA HADI RAHA




i looooove my hair

Jamani huu mkono sio paja la Sauda kweli? samahani me simooo

pozi sasa kushney
How do i look? ukinitathmini toka juu mpaka chini ni kama Tshs. 8000 tu ukitoa handbag. blauzi 2000 kikundi mnadani, suruali 3000 na viatu 3000 pia soko kuu Morogoro. mwanamke nimetoka au?

Cha kuibia kimo mwaya,

Hivi ndivyo ninavyoonekana leo, nimeficha jinja langu mwaya maana kuchana hadi ung'ate meno