Thursday, 9 May 2013

PICTURE DAY, MAMA KAENDA KAZINI MMMMH!! ME SIMOOOO

WATU WALIANZA NA MAPOZI KWANZA BADALA YA KAZI, MWEEE

WACHA WEEEEE, POZI LA KILUGURU HILOOO

KAZI IMEANZA, HII NDIO ALIYOAGIA HOME KUWA "JAMANI TUTAONANA JIONI NAENDA KAZINI"

MWANAMKE KAZI BABU WEEE

HIVI KWELI ALIKUWA ANAFANYA KAZI AU? ONA TABASAMU HILO

KIDOOOOGOOO NAFUU YUKO SERIOUS AU KIKAZI KIDOGO

NAOMBA KUUZA SURA PLEAAASE

KIKAZI ZAIDI

PINDA MGONGO PINDA MGONGO IN HAMMER Q VOICE

MPIGA PICHA NAYE SI AKAJIPIGA PICHA? MATOKEO YAKE KALALAAA

KAZI IMEISHA BYEEEE, KWELI IPENDE KAZI YAKO.

KAZI IMEISHA WAMEANZA PICHA NA MAPOZI RASMI

MMMMHHH!!! NO COMMENT

HII NNE AU??

TABASAMU HILOO, MENO MEUPEEEEE

NISAIDIENI KAMA KUNA MTU ANAWEZA KUNIPA JINA LA HILO POZI

ME SITAKI BWANA NAONDOKA HATA HUNIKUMBATII VIZURI

ENHEEEE WATOTO WAZURI KAENI NIWAPIGE PICHA EEEE,

BADILISHENI POZI LINGINE ENHEEE HIVYO HIVYO

WACHA WEEEE

HIZI POZI ZINANIKUMBUSHA MBALI KWELI,


MBONA UNACHELEWA MPAKA POZI LINAISHA?

MACHO HAYO MTOTO!!! TARATIBU


MUGONGO MUGONGO

LA NANI KUBWA???

AAAAAH BWANA SIYE TUMECHOKA KHAAA KWAHERI

BASI SAWA MENGINE TUWAACHIE BABA NA MAMA

MY QUEEN, MY ANGEL, MY LITTLE EVERYTHING

PICHA UZUNGUMZA MENGI, BASI ACHA ZIONGEEE



Remember, your predominant thoughts become your destiny



"Your time is limited, so don't waste it living someone else's life. Don't be trapped by dogma - which is living with the results of other people's thinking. Don't let the noise of other's opinions drown out your own inner voice. And most important, have the courage to follow your heart and intuition. They somehow already know what you truly want to become. Everything else is secondary."
Ref: Your Inner Child Is Calling



LOVE YOU

"It all matters: everything you see, hear, watch, say, and think. Therefore, be the gate-keeper of your mind and choose carefully what goes in."


Tuesday, 7 May 2013

OUR MAY DAY TRIP TO MVOMERO

KABLA YA SAFARI KUANZA, KULIKUWA NA MVUA KUBWA VIBAYA





MDOMO TU MUDA WOTE UNACHEZA KWA KUONGEA MTOTO WA KIKE, KHAAA

ONA

MMMH AFADHALI SIJUI ANASHANGAA NINI. TUKIWA KWENYE BASI TAYARI KWA SAFARI

VICKIE

L:UNCLE BAKUZA, SAUDA NA YASIN.

MIMI HAPA, CHIBONGEEE


MORE PICS TO COME, NETWORK INASUMBUA.

Monday, 6 May 2013

GOOD MORNING MONDAY!!!


You do not need to force an idea on the subconscious mind. It obeys orders from the conscious mind but the more efforts you apply the higher chances of rejecting an idea. Use of force means disbelief and lack of confidence. Avoid forcing yourself to believe or acquire anything in a short time, let the mind handle it smoothly.

Ref: Your Inner Child Is Calling
Buy here: www.amazon.fr/s/ref=ntt_athr_dp_sr_1?_encoding=UTF8&field-author=Colin%20Mtita&search-alias=digital-text&sort=relevancerank