Monday, 5 August 2013

MY WEEKEND LOOK, LOVE IT!!!

JUMAMOSI YANGU ILIKUWA KI USTADHAT ZAIDI, NAPENDA SANA KUVAA HIVI ILA JOTOOOO

NILIKUWA NABURUZAJE SASA, KAMA BIBI HARUSIII MWEEEEEE

VERY DECENT HADI RAHAA

LOVE THIS PICTURE, NAUWEZA USHUNGI EEEEEEE

KOH KOH KOH, NNITE UPENDAVYO MWAKWETUU

I REALY LOVE THIS LOOK

GOING OUT



NIKISUBIRI MIZIGO STENDI MSAMVU, KAMA MTU VILEEE


BAADA YA HAPO NIKAENDA KWENYE KIKAO BWALO, TOILET MOMENTS


I LOVE ME

ASUBUHI YA JUMAPILI NILIKWENDA TENA MSAMVU KUMSUBIRIA DADA ALIKUWA ANAPITA, NILICHOFANYA NI KUBADILISHA MTANDIO TU ILI KUPUNGUZA KIZA NAHISI KAMA NILIKUWA SIONEKANI VILEEE



BYE BYE MPIGA PICHA WANGU, APPRECIATE IT.

MMMMMMH MAMA CHIBONGEEEE
 
WHAT ARE YOU LOOKING AT? UMBEA TU MUONE KWANZA


POZI NI TATIZO KIDOGO

KAMA MTU VILEEEE

MWEEEEE

RAMADHANI KAREEM

Friday, 2 August 2013

NICE WEEKEND WITH VICKIE STEVEN "THE BRIDE TO BE"

MMMMH SINA SWALI

KUNA WATU WANAPENDA PICHA JAMANI SIPATA KUONA

CHEKA KIDOGO NIONE WAKO MWANYA HAIII

MUULIZE MWENYEWE, UNAMUOGOPAAA? ETIIII UMETABASAMU AU UNACHEKAAA??

KOH KOH KOH

KISS KISS, BAYAAAAA

AFADHALI KIDOGO MWEEEEEH

YEEEES, THIS IS WHAT AM TALKING ABOUT




LOVELY

KWA MARA YA KWANZA NIMECHELEWA KUONA HILI POZI LA KILUGURU

YALE YALE MWEEEEE

LOOOOVE THIS PICTURE

DELICIOUS!!!

HAVE A NICE WEEKEND MY GOOD PEOPLE

Only smart people can read this




Olny srmat  poelpe can raed this.
I cdnuolt blveiee  that I cluod aulaclty   uesdnatnrd what I was  rdanieg. The phaonmneal pweor of the hmuan mnid, aoccdrnig    to a rscheearch at Cmabrigde Uinervtisy, it  deosn't mttaer in what oredr the ltteers in a word are,  the olny iprmoatnt tihng is that the first and last ltteer  be in the rghit pclae. The rset can be a taotl mses and  you can still raed it wouthit a porbelm.  This is bcuseae the  huamn mnid deos not raed ervey lteter by istlef, but the  word as a wlohe. Amzanig huh? Yaeh and I awlyas tghuhot  slpeling was ipmorantt! If you can  raed this psas it on  !!

Thursday, 1 August 2013

MY LITTLE PRINCESS FROM THE VERY FIRST DAY, AMAZING

SIJUI NILIKUWA NATAFUTA NINI MPAKA NIKAKUTANA NA HIZI PICHA, MY LITTLE PRINCESS IS NOW 5YRS OLD. HEBU ANGALIA MABADILIKO, KILA SIKU ANABADILIKA

Hii ni day one, yaani muda mfupi toka aingie duniani, cheki shavu kama shangazi yake. Mama yake sijui alikuwa anakula nini jamani



Akiwa na miezi miwili, umeshaanza kuona mabadiliko??


Hapa je?? bado tuuu




Sielewi sijui kama wewe unamuelewa

Akiwa na Kalekwa na Sam





Hapa watu walishaanza kumnvuta kichwa, afadhali mie sijui kusuka


Hilo dude mdomoni limemfanya mpaka leo hajaacha kunyonya mdomo, siyapendi kabisa




Fashionista kitambooooooo


Look at her now, very different but cute



Love you mamaaaa