Friday, 6 September 2013

HILI NDIO BUNGE LETU, HAWA NDIO TULIOWACHAGUA. BASI SAWAAA

 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania  Microphone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma  


 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa ameng'ang'ania  Microphone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo. hata hivyo   Microphone hiyo iling'oka  na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
  Microphone hiyo iling'oka  na polisi wakafanikiwa kumtoa nje-
 Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni 

 Mbunge  wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akitolewa  na Askari Polisi nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma 
 Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya  hivyo na Naibu Spika wa  Bunge, Job Ndugai 

 Mbunge wa Mbeya Mjini  akizuiwa na wabunge  wa CHADEMA ili asiambane na polisi, Bungeni Mjini Dodoma jana
 
 Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini 
 Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma 

Thursday, 5 September 2013

MMMMMMMH!!!!


ILA NAOGOPAAAA, NIMEKUTANA NAYO MAHALI TU

HAYA NDO MAJINA 10 YA WACHEZAJI WA ENGLAND AMBAO HAWAJAWAHI KUPEWA RED CARD

ff9b4da1-1306-44d0-a2e4-8946a2e5d3fc

GOOD MORNING MY FELLOW GOOD PEOPLE, WITH MY MUM BABY TABU, BABY TERESA. MISS YOU SANA TU


WITH AUNTY

WITH HUBBY

MWEEEEEH ARE YOU TIRED??

WHAT A CUTE LITTLE GIRL

WITH MOMMY AND AUNTY

ME ASHOKA BHANAAA

SLEEPING BEAUTY

MACHO SASA

MARA YA MWISHO KUMUONA ALIKUWA HIVI SIJUI KARUDI MAMA YANGU. NIAMBIENI BASI.

KWA KWELIIII SINA CHA KUONGEA KABISAAA KWENYE HILI LABDA KAMA KUNA ANAYEWEZA KUSEMA KWA NIABA YANGU. ILA MMMMH WAMEPATA PA KUFANYIA MAJARIBIO NAONA.

Wednesday, 4 September 2013

MIMI SIJAIELEWA, SIJUI WEWE MWENZANGU

NATAKA KAMA DIAMOND, KIDOGO LAKINI. ENJOY....

MY PRINCESS AT MY PLACE, FOR TWO WEEKS NOW

OLIVER THE PRINCESS

CHEKA KIDOGO NIONE WAKO MWANYA HAIIIIII

ASANTEEEEE MAMA


WITH AUNTY YAKE

HILI POZI LA BATA MZINGA AU? ONA MIGUU HIYO

WACHA WEEEE, UMEONA POZI HILO? NAKUANDAA KUWA MODEL MAMIIII

MMMMH NO COMMENTS

MWEEEEH

VERY CUTE


NAHISI HILI NI POZI LA FAMILIA NILIWAHI KULIONA KWA KAKA YAKE SAM

SHOOOO SHWEEETY



MWENZENU NILIFANYA KOSA KUMUAMBIA KUWA TUNATAKIWA KUSAFIRI SIKU MOJA KABLA YA SAFARI, NILIKUWA NASUMBULIWAJE SASA? SHANGAZI KWANI TUNAONDOKA SAA NGAPI, KWANI TUNAONDOKA NA BABA, MBONA HATUENDI SASA? YAANI MPAKA UNACHOKA KUJIBU UNAKUWA MKALI. HAPA SAFARI TAYARI KABEBA POCHI KATANGULIA NJE KAONA NAMCHELEWESHA.

YUPO NJE ANAULIZA WENZIE HAWATOKI TU?? HAPA KANUNA

UMEONA CATWALK HIZOOO??