Thursday, 12 September 2013
Wednesday, 11 September 2013
Laana: Babu mwenye watoto nane atarajia kufunga ndoa na mbuzi
Mzee mmoja anayejulikana kwa jina Aparecido Castaldo mstaafu kutoka Jundiai Brazil ameacha watu hoi kwa mshangao baada ya kutangaza nia yake ya kufunga ndoa na mbuzi wake mpenzi Carmella ambae kwa mwaka wa pili sasa anamzimia!
Anasema mbuzi ana faida na nafuu kuliko binadamu wa kawaida "Mtu anaponiona nafanya kitu kibaya au cha ajabu huwa namjibu huyu ni mbuzi..haongei,haombi hela kwa ajili ya shopping na hapati mimba pia" amesema babu huyo.
Kwa sababu hakuna kiongozi yoyote wa dini atayekubali kushiriki katika ndoa hiyo,wawili hao watafunga ndoa katika kanisa linaloabudu dini ya kishetani au unaweza kuita Igreja do Diabo october 13 huko katika mji wa Jundiai Brazil.
Mbuzi huyo Carmelita alikula gauni lake la harusi alilonunuliwa mara ya kwanza lakini mume wake mtarajiwa amenunua lingine.
VITUKO SHOW.COM
MWEEEH MIMI HUYOOOO
ANADAI ETI ANAKUMBUSHIA ENZI ZILEEEE
MIMI SINA SWALI
WEEE HEBU PIGA PICHA UNYAYO WANGU ALAAA
HAIJALISHI WE KAMUA TU KWANI SI VYANGU????
KWI KWI KWI MAMIE MWALI NA MWENYEKITI WANAIMBA KWAYA AU??
UHARIBIFU.COM
MAPENDO.COM
MAPOZI JAMANI
HAPA 3K ULITAKIWA NAWE UMTAZAME MWENYEKITI KWA CHATI
NAULIZA TENA KUNA MWINGINE WALIMSAHAUU??
SIJAELEWA HILI POZI KWA KWELI
MTOTO WA KICHAGA KAREMBUA JAMANI
DALILI ZA KUCHOKA
I LOVE THE PIC
SI MUENDE KWANI MMEZUIWA KWENDA??
MSOSI TIME HAPA KILA MTU ALIJAZA KWA KADRI YAKE
HII SAHANI YA JOYCE
UMEMUONA EEEEEEEE
WENGINE WALIONA WAKIKAA KWENYE KITI AKITASHUKA VYEMA
MWENYEKITI YEYE ALIONA BORA AKAE KARIBU NA MASUFURIA ILI AONGEZE KINYELE
KOH KOH KOH MAMA MDOGO HIZO SODA ZORE ZAKO??
NYONGEZA TIME, MMMMH KUNA WANAWAKE WANAKULA JAMANI MWEEEEH
HANA WASI WASI ILA UMESHANUNUA SHAMBA?? MAANA BILA KILIMO KAZI IPO
NAOMBA KUSHTAKI, OLIVER KACHUKUA CHAKULA CHANGU WAKATI MM SIJASHIBA
MAMIE MWALI ANAKULA KIMISS
MMMH NA SODA JUU, ULIHEMEA WAPI??
WENGINE WALIKUWA WANAFANYA MAZOEZI YA KUFUKUZIA SAHANI ZA WALI
BAADA YA SHIBE MIUNO TYME, UTAJIJU KAMA WEWE KEKUU
KIMETOKELEZEAJE?? NO MOTOROLA BAPA KWA LEO KWI KWI KWI
SIJUI HATA ILIKUWAJE HATA MM NASHANGAA
MAPOZI.COM
HALAFU MAPOZI YENYEWE YA KALE ILA TULIENJOY SANAAAAA
BASI SAWAAA
NIMEMALIZAAAAAA
Tuesday, 10 September 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)









