Thursday, 9 April 2015

YANGA BWANA, SASA NDIO NINI HIVYOOO? TAREHE 8 GOLI 8


Kiungo wa Yanga, Salum Telela, akimiliki mpira mbele ya
wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Barauliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 8-0
Simon Msuva akishangilia bao aliloifungia timu yake.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia.
Haruna Niyonzima akiruka kihunzi cha, Hamoud Abdulhalim.
Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Coastal Union.
Mwamuzi wa mchezo kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga,
Simon Mbelwa, akimpa ‘tano’ mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe, baada ya kuifungia
timu yake ‘hat trick’ na kukabidhiwa mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka
Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Amis Tambwe akipongezwa na kocha wake.
Amis Tambwe akipongezwa na mashabiki wa Yanga. Ukisema cha nini wenzio wanauliza watakipata lini
 
Amis Tambwe akichuana na mchezaji wa Coastal Union, Mohamed Ally.
 
PICHA: WILLIAM MALECHELA BLOG

Friday, 27 March 2015

NIMEIPENDA HII




 Huwezi amini unaweza ukakaa  na kustajabu  utakacho  kiona ila ndo dunia
na maajabu yake kikongwe huyu mwenye miaka 86 akionyesha pigo za kiujana bila wasi wasi na swagg kibao za mbelezz .
















CREDIT: LE MUTUZ

 

Friday, 6 February 2015

JAMANI WATU WABAYA, ONA WALIVYOMPINDULIA KIBAO MZEE WA WATU





Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe, 90, alianguka mpaka chini mara tu baada ya kumaliza speech aliyokuwa akiitoa kwa wafuasi wake waliokuja kumpokea airport baada ya safari yake kutoka Ethipia, Ijumaa iliyopita.
Mugabe ameanguka baada ya kukosea ngazi alipokuwa akishuka tayari kwa kuingia kwenye gari lake.

Baada ya picha hizo kusambaa, maraia wakaanza kazi yao ya kutengeneza memes zilizozagaa katika mitandao ya kijamii. hizi ni baadhi tu ya picha hizo