Friday, 18 December 2015

WATANYOOKA TU

IMG_9118


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiwaamrisha askari wa getini wizarani hapo kuweka kufuli na kutoruhusu mtumishi yoyote wa ofisi hiyo kuingia ndani ya ofisi za wizara ilipotimu saa 1:32 asubuhi mapema leo.
IMG_9122
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli katika lango kuu la kuingia katika ofisi za Wizara ya Afya.


IMG_9123
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiwauliza askari wa getini kuhusu daftari la mahudhurio ya watumishi wa wizara baada ya kufungwa geti hilo, na kupewa maelezo kuwa watumishi huonyesha vitambulisho pekee na husaini katika vitengo vyao.
IMG_9139
Mmoja wa wafanyakazi wa Wizara ya Afya akiwasili ofisini huku muda wa kuingia kazini ukiwa umepitiliza. Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akizungumza na mmoja watumishi wa wizara hiyo na kuagiza kuletewa vitabu vya mahudhurio kwa vitengo vyote vilivyopo wizarani hapo.
IMG_9149
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu katika Wizara ya Afya, Michael John akitoa maelezo kuhusu mahudhurio ya watumishi kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla.
IMG_9155
Magari ya watumishi wa Wizara ya Afya yakiendelea kuwasili ofisini bila ya kutambua kuwa Mheshimiwa Naibu Waziri, Dkt. Kigwangalla ametoa agizo la kuizuia watumishi wachelewaji.
IMG_9156
Askari wa getini wakimpa maelezo mmoja wa watumishi wa wizara hiyo kuwa Mh. Naibu Waziri ameagiza watumishi wote waliochelewa kuzuiliwa kuingia ndani.
IMG_9164
Mmoja wa wasaidi wa idara ya rasilimali watu akimkabidhi vitabu vya mahudhurio Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla.
IMG_9172
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akipitia mahudhurio ya watumishi wa wizara kwa siku zilizopita.
IMG_9181
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akipitisha mstari wa kufunga mahudhurio kwa watumishi ambao wameripiti kabla ya saa 1:30 asubuhi ya leo.
IMG_9198
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiendelea na zoezi hilo la kupitisha mstari kwa kila idara za wizara hiyo.
IMG_9231
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akizungumza na waandishi wa habari kuhusu juu ukaguzi huo katika ofisi za wizara yake ya afya ili kuboresha utendaji wa wizara hiyo na vituo vyote vya sekta ya afya nchini kote.

BYE BYE MOURINHO, WHAT GOES AROUND COMES AROUND






Thursday, 17 December 2015

PLAYING AROUND WITH JANEY, KUKOSA KAZI DAY


KWI KWI KWI KWIIIIII


HUO MDOMO KWANI VEPEEEEE

ASANTEEEEE

NO COMMENT, MDOMO SASA. OOOPS KUMBE NILISEMA NO COMMENT

WACHA WEEEEE, NAONA POZI HAPA LIMEKUBALI

MAPOZI YA KIHAYA, IN MPOKI'S VOICE

I BELIEVE I CAN FLYYYYYYY

KIDOGO AANGUKE, NDUKIIIIIII

TEH TEH TEH WATU NA MAPOZI YAO BABUUUU

WITH MY LIL SIS

MIMI SIMOOOOOOO

MAPOZI YALIPOISHA

HAPA KUSHUKA NGAZI MGUU MMOJA MMOJA HADI HURUMA. NA KULE ANAKOANGALIA SIO KAPENDA ILA ANAOGOPA KUANGALIA ANAKOKANYAGA. SHE IS AFRAID OF HEIGHT

UNA MAWAZO DOGO????


NDUKIIIIIIII

TEH TEH TEH


Tuesday, 15 December 2015

FROM AWADH KILLO TO ALL THE MEN OUT THERE!!!

WANAUME KUWENI WAVUMULIVU KIPINDI HIKI:-

Kipindi gani hicho???

Ni kipindi ambacho mkeo ni mjamzito.

MUME KUMBUKA; wakati mkeo hana uja uzito mlistarehe na kufurahi pamoja, lkn baada ya uja uzito mke ndie anae umia na shida huzipata peke yake.

A.Mume anatakiwa azidishe mapenzi na amhurumie mkewe anapokuwa mja mzito.

B. Mletee vitu anavyokuagiza km una uwezo navyo na km huna fanya njia yyte kumtuliza na kumridhisha

C. Mpunguzie baadhi ya kazi na msaidie kazi nzito km kufua, kuchota maji nk.

D.Epuka kumlaumu, kumkasirikia , na kumpa habari mbaya km ajali, vifo vya ghafla na habar za kutisha.

E.Usimkimbie na kumuacha peke yake bila dharura yoyote.

F. Mliwaze , mpe maneno mazuri pamoja na kumbembeleza na kumdekeza.

G.Mhimize kufanya ibada ili asiache kwa ajili ya ujauzito.

H.Mwanamke anapokuwa mjamzito huwa anapata mabadiliko katika mwili wake km kunenepa sana, wengine hubadilika rangi zao na kuwa weusi, wengine hubadilika hata sura kwa kuvimba uso hivyo mume unatakiwa uvumilie.

I. Baadhi ya wanawake huwa ni wakali, watamanifu wa vitu, pia huwa hawataki hata waguswe na waume zao (tendo la ndoa), mume vumilia pia.

J. Baadhi ya wanawake huwa huwachukia waume zao, wengine hawataki hata kulala na waume zao wanaona kitanda kidogo nk , mwanamme endelea kuvumilia ni kipindi cha mpito.

Note..
Atakapojifungua ipo siku atakumbuka vituko vyake vyote na uvumilivu uliouonyesha kwa kipindi chote ataukumbuka na kujua kuwa kweli unampenda kwa shida na raha.

Subra ni muhimu ,

VUMILIA JOTO LA BEKARI ILI UWEZE KUPATA MKATE,,

Share Ujumbe huu ili uwafikie waume wote duniani.

JUST LOVE THE WORDS