Friday, 14 December 2012

GOOD DAY, GOOD WEEKEND, THANKS GOD ALMIGHTY

MCHEZO WA KUPIGA PICHA ULIANZIA KWENYE GARI WAKATI NAENDA KAZINI, NAHISI NIMEAMKA NA MOOD YA KUJIPIGA PICHA LEO

HALAFU UKAHAMIA CHOONI

 

MACHO JAMANI, MAKAVUUUUU
TABASAMU LA MILENIA


MWAAAAAAAH, ME LOVE YOU MINGI 

NIKATOKA KWENYE PARKING KIWANDANI, ILA HAKUNA LA KWANGU MWAYEGO

SASA LINAPOKUJA SUALA LA POZI NDIO TATIZO INABIDI NIANZE KUFANYA MAZOEZI

MMMMH WACHA WEEE, NIMEJITAHIDI ILAA

ASANTE

HAPA SASA UTAFIKIRI NAIMBA WIMBO WA TAIFA, HAYA 1,2,3 TWENDEEEE

POZI POZI POZI NI JANGA LA TAIFA

MIMI SIJUI BWANA


NINIIIIII HUKOOOOO!!

CHEZEA KUPIGA PICHA KWENYE MAJANI HALAFU ASUBUHI?? KIATU LAZIMA KIPOTEZE LADHA



POZI ZINGINE JAMANI HAPANAAAA




UMBEA DOT COM


NAONA MPIGA PICHA KAANZA KULEWA
UNAKUBALIANA NA MIMI KUWA MPIGA PICHA KALEWA??


TUKAHAMIA NDANI KIWANDANI, UNAJUA KAZI ZIMEPUNGUA HIVYO NI MWENDO WA KUZUGA

POZI LA MIZUGO

WITH MY MPIGA PICHA OLIVER BABYYYY


NINI SASA HAPA??


FULL MABELO

KWEUPEEEE HADI RAHAA, HII INAMAANISHA KUWA LIKIZO HAIPO MBALI

TEGE JAMANI KHAAAA UTAFIKIRI 3K!!


UNANITISHA AU??

ASANTE SANA MAMITO KWA KUKAMILISHA HAMU YANGU. LOVE YOU DEAR

1 comment:

Anonymous said...

Huyo mpiga picha wako wanja wake tu mi hoi!!!