MY DEAR FRIENDS, SIJUI NIZUNGUMZE AU NIANDIKE VIPI ILI MPATE MAANA HALISI YA KILE NINACHOTAKA KUZUNGUMZIA. KIKUBWA NINACHOWEZA KUSEMA NI ASANTENI SANA KWA UPENDO MLIOUONYESHA KWANGU, MLINIKIMBILIA PALE NILIPOKUWA NAWAHITAJI KULIKO KITU KINGINE, MLINIFARIJI KUPITA HATA NILIVYOWAHI KUFARIJIWA NA MLIKUWA KARIBU YANGU KULIKO MTU MWINGINE YEYOTE. SISEMI KWA WALE WALIOWEZA KUJA TU ILA HATA WALE AMBAO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE WALIKUWA KARIBU NA MIMI INGAWA HAWAKUAAJILIWA KUFIKA KWENYE MAZISHI. MIMI SIWEZI KUFANYA AU KUONGEA CHOCHOTE KWENYE HILI MLILOLIFANYA ILA NAMUOMBA MUNGU AWAAJALIE KILA LILILO LA KHERI NA KUWEKA WEPESI KWENYE KILA LILILO GUMU. KWANGU MMEKUWA KAMA NYOTA INAYOAMBATANA NA MBALAMWEZI KILA SIKU. MMENISIMAMIA NA BADO NAAMINI MNAENDELEA KUNISIMAMIA, ASANTENI SANA KWANI MMEKUWA ZAIDI YA NDUGU KWANGU. MUNGU ATUSIMAMIE WOTE ILI UPENDO HUU USIJE VUNJIKA KAMWE INGAWA KUNA VITU VINAVYOSUKUMA HILO LITOKEE. NAWAPENDA SANA NA NAMUOMBA MUNGU ANIJALIE MOYO SAFI WA KUTUNZA UPENDO HUU NDANI YANGU.
3 comments:
Amina
KUMBE USHUNGI HAUMTUPI MTU JAMANI U ARE LIKE MUSLIM,NINA KAKA YANGU AKUOE NAOMBA NAMBA YA CM YAKO TUWASILIANE JAMANI
msisitizo namba ya cm please
Post a Comment