TAREHE 08/02/2013 TUMEPOTEZA MFANYAKAZI MWENZETU, DADA EVA GEORGE. NILIPATA KUFANYA KAZI NA HUYU DADA KWA MIAKA MITANO NA AKAWA MTIIFU KWANGU KUPITA MAELEZO. ALIKUWA ZAIDI YA MDOGO WANGU KAMA SIO MY BEST WORK MATE. ALIKUWA TAYARI KUFANYA CHOCHOTE UTAKACHOMUAGIZA BILA MALALAMIKO. EEE MWENYEZI MUNGU MPE PUMZIKO LA MILELE DADA EVA GEORGE NADOO.
HAPA AKIWA KAZINI
POPOTE NILIPOKUWA NAKWENDA NILIKUWA NAYE, HAPA TUKIWA HOSPITALI AMNISINDIKIZA NIKIWA NAUMWA
SHE WAS BEATIFUL
WAKATI WOTE TULIKUWA KAMA KUMBIKUMBI.
WHAT A SMILE
EVA, GONE TOO SOON
MY DEAR, MISS YOU MUCH ALREADY
BAADA YA KUTOKA KUZIKA
WACHACHE TULIOJAALIWA KWENDA KUZIKA KIJIJINI KWAO GAIRO, TULIMUACHA EVA MITA CHACHE KUTOKA TULIKOSIMAMA
NILIVUTIWA NA HII NYUMBA TU JAMANI.
No comments:
Post a Comment