Tuesday, 26 March 2013

LUNCH TIME, KARIBUNI

HII NDIO PLATE YANGU YA LEO.

HAPA INAONEKANA VIZURI KIDOGO.

BAADA YA MSOSI NIKALETEWA HII KITU, MNYAMWEZI WA WATU MIE NA USHAMBA WANGU.


Friday, 22 March 2013

KUMBUKUMBU

MOHAMED NAHAMA

IMETIMIA MIAKA MITANO LEO TOKA ULIPOFARIKI DUNIA TAREHE 22/03/2008. IMEKUWA MIAKA MITANO AMBAYO HAIJAWAHI KUPITA SIKU BILA KUKUMBUKA UWEPO WAKO. NAHISI NIMEPUNGUA KILA KITU BILA WEWE MPENZI WANGU, ULIKUWA KILA KITU KWANGU NA SIJUI KAMA NITAWEZA ZAIDI YA ULIPONIFIKISHA WEWE. SIJUI KAMA KUNA LA ZIADA LA KUONGEA AU KUANDIKA ILI KUJUA JINSI NILIVYOKUKOSA KATIKA MAISHA YANGU. MUDDY, ULINIONGOZA MAHALI AMBAPO SIJUI KAMA KUNA ATAKAYEWEZA KUNIONGOZA KWA SASA. ULIKUWA ZAIDI YA MWALIMU KATIKA MAISHA YANGU YA KILA SIKU KAMA MUME. NAOGOPA KUONGEA MENGI MAANA NAHISI NINAKOELEKEA NAENDA KUMKUFURU MUNGU WANGU NA MIMI SITAKI HILO LITOKEE. NINACHOWEZA KUSEMA KUWA, MUNGU AKUPE RAHA YA MILELE NA MWANGA WA MILELE AKUANGAZIE UPUMZIKE KWA AMANI, AMINA. NILIKUPENDA, NAKUPENDA NA NITAENDELEA KUKUPENDA MPAKA MUNGU ATAKAPONIITA MBELE ZA HAKI YAKE ILI TUUNGANE TENA KATIKA UFALME WAKE.

ULIKUWA FURAHA YANGU KILA TULIPOENDA

TULIKUWA TUNAFANANA KWA KILA KITU AKILI, TABIA NA HATA VITUKO. NA KAMA TULITOFAUTIANA BASI NI PADOGO SANA

BAUNSA WANGU, WEWE NDIE PEKEE ULIYENIFUNDISHA KURUSHA NGUMI KAMA MWANAUME.

MY SWEETPIE, MISSING YOU A LOT BABY.

Thursday, 21 March 2013

Friday, 15 March 2013

LIFE GOES ON, THANKS TO GOD ALMIGHTY

MACHO MADOGOOO UKICHEKA HAYAONEKANI

WOOW!! I LOVE ME.

CHIBONGEEE HADI RAHA

BADO NALALA IN SOUD BROWN VOICE





Thursday, 14 March 2013

MMMH!! SINA SWALI WALA MAELEZO JAMANI

MY LITTLE QUEEN

HIVI INAWEZEKANA KWELI?? ANAONA AIBU

I LOOOVE THE HAIR

YOU SEEE WHAT I MEAN??

LIFE MUST GO ON DEAR.


LOVELY

ME LOVE YOU MINGI MAMMY