A VERY HAPPY BIRTHDAY TO ME
I MISS YOU MUM ESPECIALLY TODAY. TOKA SAA SITA USIKU NINGEKUWA NIMESHAPOKEA SIMU ZAIDI YA TANO KUTOKA KWAKO, LAKINI UKWELI NI KWAMBA SIJAPIGIWA HATA MARA MOJA KUTOKA KWA YEYOTE YULE. HII NI BIRTHDAY YANGU YA KWANZA BILA WEWE NA NIMEANZA KUONA TOFAUTI MAMA. THANKS MUM, THAT'S IS ALL I CAN SAY FOR NOW . I FEEL LIKE CRYING. MUNGU NAOMBA UMPUNGUZIE ADHABU YA KABURI MAMA YANGU NA UMPE PEPO YAKO. SI KWA MAPENZI YANGU BALI KAMA UONAVYO SAWA. LOVE YOU MAMA AND MISS YOU MUCH. I WISH YOU WERE HERE.
HAPPY BIRTHDAY TO MEEEE, HAPPY BIRTHDAY TO MEEE, HAPPY BIRTHDAY DEAR DEAR BIBI SENENEEEEE, HAPPY BIRTHDAY TO MEEEEE. LABDA MAMA ANGEIMBA HIVYO. KWA NINI BIBI SENENE, USIKU WA SIKU NILIYOZALIWA MAMA ALIBAKA SANA SENENE NA MUDA MCHACHE BAADAYE ALISHIKWA NA UCHUNGU NA KUPELEKWA HOSPITALI. NDIO MAANA WAKANIITA BIBI SENENE.
LOVE YOU ALL