Wednesday 3 April 2013

PC YANGU IMEANZA TENA KU ACT CRAZY

PC YANGU IMEANZA TENA KU ACT UCHIZI ISIYOKUWA NAYO, MODEM NAYO NDIO KABISA MPAKA NASIKIA HASIRA. UMASKINI HUU LABDA NINGEKUWA NA POSHO YA KUTOSHA NINGEANGALIA UWEZEKANO. NIPENI DILI MAZEEE. SO SORRY.


HEBU NISAIDIE KUCHAGUA MAANA ME BINGWA WA KUJARIBISHA

KI AFRO ZAIDI

UPANDE UPANDE, UNA SWALI??

HAPO JE? TABASAMU HILO MDOMO MPANAAA

MUGONGOMUGONGO, CHIBONGEEEEEE

MMMMHHHHH!!! NGOJA TUSUBIRI KWA MBELE

MAMAAAAAA!!!

KIDOOOGOOOO

CRAZY STYLE

WACHA WEEEE!!!

WEEEWEEEE

ME  SIMOOO

KI HALAT ZAIDI

2 comments:

Anonymous said...

Dada mm napenda hilo refu.... Buy for me pliizzz.... Pendetha na chiz style..hahahaaa... Chibe hapa

Winnie Ngalaba said...

will do my dear, soon