Thursday, 30 May 2013

GOOD MORNING, ITS A NEW DAY DEARS

MMMMH! NO COMMENT

SIELEWI ILA SIO MBAYA MWAYA


ATTENTION!! KIFUA MBELEEE WEKA

CHIBONGE ME!!

WOOOW!!! KAMA MTU VILE

MAPOZI LESS!!

SIKUJUA MPIGA PICHA ALIKUWA ANATAFUTA NINI KWA KWELI

SIJUI NILIKUWA NA UGONJWA WA MALALEEE, MAANA FULL KULALA

SLEEPY SLEEPY

TABASAMU AU KENUA??? SIELEWI

AM BIG AND AM PROUD!!!

HEBU NICHECK


YAANI KINGEKUWEPOOO SIJUI INGEKUWAJE,

ATLEAST KAMA KINAONEKANA VILEE, ILA MPAKA KWA KULAZIMISHA! UKITOKA HAPO KIUNO CHOTE MAUMIVU


MOTOROLA BAPA!!! TEH TEH TEH

MAWAZO KILA MTU ANAYO MAWAZO

TUKILALA TUKIAMKA TUNA MAWAZO

TUKIKAA TUKITEMBEA NA MAWAZO

TUPISHE SIYE, MAWAZO GANI HAYO SURA TAMUUU

LOVE YOU ALL

No comments: