FRIDAY
IJUMAA ILIKUWA SIKU YA KUBADILISHA MUONEKANO WA OFISI YANGU. NDIO ILIKUWA KAZI KUBWA YA SIKU HII
SATURDAY ILIKUWA KULALA DAY
SUNDAY
NILILALA KIDOOOGO HALAFU KAZINI KWENYE SPORTS, UTANTAKAAAAA
NA AFRO LANGU MWENYEWE, ZIMEKUAJE???
HEBU NICHECK HAPO
NARINGAJE SASA?? YAANI NAZIPENDA BURE NYWELE ZANGU
KOH KOH KOH
MY SWEET MOTOROLA BAPA, BWAHHHAHHAHAHHA
NANGOJA AGEUKEEE
MMMMH CUTTIE ME, UTAJIJU KWANI NAKULAZIMISHA
MAMA KIBONGEEEE
POZI MWANAWANEEEEE
WACHA WEEEEE
KUNUNA TIME, BAYAAAAAA
KISS KISS FOR YOU MWAAAAAAAAAAAH
MENO SASA KAMA JEMBE
MONDAY
YAANI JUMATATU KWANGU NI NGUMU VIBAYA , NAHISI PICHA KARIBU ZOTE NIMENUNA MWEEEEH
MWEEEEEEH
NDO KIWE NINI?? NENDA KAZINI HUKO
NIMEPIGA MWENYEWE HII PICHA NA SIJUI NILIKUWA NAPIGA NINI, LABDAAAA
ETI NALAZIMISHA TABASAMU MWEEEEH
BACK TO MNUNOO
WOOOOOW, U HAIR UMEUONAAA???
TUESDAY
LEO NIKO POA SANA ILA AFRO NIMELIFICHA TENA. NIKIFUMUA KITU MWARABU WA MATOMBO, KWI KWI KWI
SAFARI HII NIMESUKA NYEUSI NAHISI ZIMENIPENDEZA AU UNASEMAJE??
KITU CHA SKETI UMEKIONA KWA MBALI KULEE.
SEE YOU LATER GUYS, BYE FOR NOW
No comments:
Post a Comment