Friday, 30 January 2015
Thursday, 29 January 2015
ETI KWELI?? KUWA SIMBA BILA OKWI HAIWEZEKANI?? MAPOVU YASIKUTOKE BUREEE
KIPINDI CHA PILI KIKIWA KINAENDELEA
MASHABIKI WAKIWA WANAFUATILIA MECHI KWA UKARIBU
MBEYA CITY WAKIWA WAMEPATA GOLI LA PILI
MBEYA CITY FC WAKISHANGILIA GOLI LAO LA PILI
MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WANASHANGILIA GOLI LA PILI
KOCHA MKUU WA MBEYA CITY FC BWANA MWAMBUSI WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO AKIFUATILIA MECHI KWA UMAKINI.
MASHABIKI WA SIMBA WAKIWA WAMEPOA BAADA YA M BEYA CITY FC KURUDISHA GOLI
MASHABIKI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WENYE FURAHA
HAPA ILIKUWA NI PATA SHIKA NGUO KUCHANIKA BAADA YA SHABIKI WA SIMBA KUINGIA ENEO LA MASHABIKI WA YANGA.
MPIRA UMEKWISHA
WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA WANATOKA NJE YA UWANJA BAADA YA MPIRA KWISHA
WACHEZAJI WA MBEYA CITY FC WAKIWA WANATOKA UWANJANI BAADA YA MPIRA KWISHA
MASHABIKI WALIO TOKA MBEYA KUSHANGILIA MBEYA CITY FC WAKIWA NJE YA UWANJA WAKIENDELEA KUSHANGILIA MPIRA.
PICHA CREDIT: MSIKECORNER BLOGSPOT
MAHABA NITEKETEZE, DUH!!
Shilole amewaomba radhi mashabiki wake kwenye mtandao wa Instagram kwa kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika:
Baada ya kuzuka tetesi kuwa alimdunda vibao mchumba wake Nuh Mziwanda, Shilole amelazimika kuomba radhi.“Huyu hapa mjanja wangu mimi, daah nimekamatika hapa, na naamini ni mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi kurusha hata ngumi japo namchokozaga mie mjeuri tu, mnao muhandama mme wangu mmeshindwa, kugombana ni kawaida sana kwenye mapenzi na kama nliwaudhi mashabiki wangu mnisamehe mie nampenda mme wangu.”
Naye Nuh Mziwanda aliandika:
Mwanaume lijali aliekamilika ampigi mpenzi wake wala kurudishia kibao au kofi alilopigwa na mpenzi wake.naamini kwenye mapenzi ya kweli wivu lazima na kugombana kwenye mapenzi ni kama kwenda chooni ni swala la kawaida sana.aaaaaaaya mke wangu nimekup rukhsa nipige mpaka nikome.ila all i know its love dats it.Nawapenda Mashabiki wangu pamoja sana .#zimaTaa sie tayar
Wednesday, 28 January 2015
Tuesday, 27 January 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)