KAKA YANGU KIPENZI, RAFIKI WA KARIBU NA KIZUANDA CHA KWANZA CHA MAMA, MMMMMMH SIJUI NISEME NINI KAKA ILA KUBWA NINALOWEZA KUSEMA KWA SASA NI KWAMBA LALA SALAMA BABA. LEO TAREHE 24/06/2015 UNATIMIZA MWAKA MOJA TOKA ULIPOFARIKI NA KUTUACHA BILA KAMBAKU LETU. ULIKUWA MTU ULIYEBAKIA KATIKA MAKAKA AMBAO UNAWEZA KUKAA NA KUONGEA NAYE KITU BAADA YA MAREHEMU MWL ISSA. ILIKUWA NGUMU SANA KUKUBALI NA BADO NGUMU SANA KUKUBALI ILA NAMSHUKURU MUNGU KILA SIKU KWA KUNIPA UVUMILIVU NILIO NAO AU TULIO NAO SOTE TULIOKUWA NYUMA YAKO. LALA SALAMA KAKA, NIKISEMA NIENDELEE KUANDIKA SITAMALIZA LEO KIKUBWA NI KUWA NAUMOMBA SANA MUNGU AKUPUNGUZIE ADHABU YA KABURI. NILIKUPENDA SANA, NAKUPENDA SANA NA NITAENDELEA KUKUPENDA DAIMA KAKA YANGU.
Wednesday, 24 June 2015
Monday, 22 June 2015
SHAME ON YOU TANZANIANS NA TIMU ZENU ZISIZO NA MAKOCHA
You'll die on davido's page ���� @milliansmaendeleo you've been commenting since this pic was posted...shows how unemployment/ lack of education really affects Tanzanian youths..... I go flight to catch in few hours ���� die here bitch on a Nigerian page while Nigerians are balling out there and don't know diamond or gives a shit about Tanzania ����.....many Nigerians don't even know what Tanzania means�� me? Of course I heard it one of a kind " Tanzania, Morocco Mozambique" ������ go...
@davido keep it up brother keep it up brother bse am sure without you ryt now huyo diamond bdo angckika ktk bomba but ile collarbo ya no one rmx ndyo ikawa moango mzma but all and all ww mkal
Shame on you guys...
loh hata haya....nainaelekea maisha yenu nyinyi hamuendelei kwa roho mbaya hahaha. ....!!!! Vote vote davido kuweni na haya...pumbavu nyinyi mnaacha kusaport nchi yenu mmekalia majungu tuuuuuuu muxiuuuuuu..!!!! Hata haya loh! w huyo diamond bdo angckika ktk bomba but ile collarbo ya no one rmx ndyo ikawa moango mzma but all and all ww mkal..
oubleganger.xi swear down I check one of their girl's page and its full of her plus an Indian actor, like tf picmixing shits together....... They local AF, I bet.....might be only 5% of Tanzanians hd been to abroad....... Its such a shame, they can't even deal with largest black nation in the world and num 1 largest economy in africa...richest country in africa, idk how to express Nigeria again�� too many greatness despite politicians greedyness etc ��

Friday, 19 June 2015
Thursday, 18 June 2015
HIVI INAKUWAJE MAMA MZAZI UNASHIRIKI UKATILI HUU KWA MWANAO WA KUMZAA?? AKILI AU MATOPE??
Credit: Dustan Shekidele
UKATILI ULIOJE! WAZAZI WAMPIGA, WAMFUNGA KAMBA MTOTO WAO, WAMFUNGIA NDANI
Polisi wakimfungua kamba
UKATILI ULIOJE! WAZAZI WAMPIGA, WAMFUNGA KAMBA MTOTO WAO, WAMFUNGIA NDANI
Bi,Asha Mohamed ambaye ni mama mzazi wa mtoto Salum akihojiwa na mwandis
hi wa Mtandao huu nje ya nyumba yake iliyopo maeneo ya Mkundi huku kufuli kubwa likining'inia kwenye chumba alichomfungia mwanae wa kumzaa kwa kushirikiana na baba wa kambo wa mtoto huyo.
Polisi walifika eneo la tukio na kumhoji mama huyo.
.....Akihojiwa na mwandishi wa habari huku akirekodiwa
Mdogo wa Salumu akizungumza jinsi alivyoshuhudia kaka yake alivyoteswa usiku kucha na wazazi wake
Katika hali ya kushangaza mwanaume huyo aliayefahamika kwa jina moja la Ally baada ya kuwaona Polisi na waandishi wa habari alikimbia na fungu ya mlango jambo lililowaradhimu polisi kuamulu mlango huo kuvunjwa na kuokoa maisha ya mtoto Salum
Baada ya mlango kuvunjwa polisi na mwandishi wa habari hizi waliingia ndani na kumshuhudia mtoto Salum akiwa ndani ya chandarua akifungwa miguu na mikono kwa nyuma
Polisi wakimfungua kamba
Polisi pamoja na mwandishi wa Mtandao huu wakifanya mahojiano na mtoto huyo baada ya kufunguliwa kamba.
Mtoto ayuko akitolewa nje na kupelekwa kituo kikuu cha polisi kwa mahojiano zaidi
Polisi wakimuokoa mama wa mtoto huyo akipokee mkong'otoa kitoka kwa majirani zake waliokuwa na hasira
Na Dustan Shekidele,Morogoro.
Katika hali inayoonyesha ukatili wa ajabu, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Asha Mohamed, akishirikiana na mumewe, walimfunga kamba miguu na mikono mwanaye wa kumzaa Salum Mohamed (9) na kumfungia ndani ya nyumba yake huku wenyewe wakienda kusikojulikana muda mrefu Jumatatu iliyopita huko Mkundi, nje kidogo ya mji wa Morogoro.
Tukio hilo la kusikitisha lilifanyika ikiwa ni adhabu ya mtoto huyo kutokana kosa la kuchana chandarua kwa miguu, kitendo alichokifanya usiku wa Jumapili, ambako licha ya kupigwa kwa zaidi ya saa mbili mfululizo, pia alinyimwa chakula na hivyo kulala na njaa.
Kwa mujibu wa majirani Mwanamke huyo na mumewe kwa muda mrefu walikuwa wakimfanyia vitendo vya kikatili mtoto huyo”kuna wakati mtoto huyu aliamua kutembea kwa kwa miguu kutoka hapa mkundi mpaka mjini kwa bibi yake umbali wa kilomita 10.
“Wazazi wake jana majira ya saa 3 mpaka saa 5 usiku walimpiga sana huyu mtoto, cha ajabu asubuhi walimfunga kamba na kumfungia kwa nje na kufuli kubwa na wenyewe kwenda kwenye shughuli zao, alishindwa kwenda shule, tulipomuuliza kupitia dirishani, alisema alipewa adhabu hiyo baada ya kuchana chandarua, kwa uchungu tukaamua kutoa taarifa kwako,
” alisema Mage Luzimamu, mmoja wa majirani.
Baada ya mwandishi kupata taarifa hizo aliwasiliana na Jeshi la Polisi ambapo askari walienda hadi ilipo nyumba hiyo na kulazimika kuvunja mlango na baadaye kumfungua mtoto huyo na kuondoka naye. Mama mzazi alipatikana na kukiri kuhusika na tukio hilo, ambapo alijitetea kuwa alimfunga kamba kama sehemu ya adhabu na siyo mateso.
Mume wa mama huyo alikimbia baada ya kusikia taarifa za kusakwa kwake lakini Polisi wamesema watamtafuta hadi wamtie mbaroni.
NIMEITOA RAHATUPU.US BLOGSPOT:HAYATI AMINA CHIFUPA ALITUKANWA AKABEZWA MWISHO KILA MTU ALIONA UMUHIMU WAKE!!,WEMA INGIA KATI
Marehemu AMINA CHIFUPA(Mungu mrehemu)
Alipoonyesha nia ya kutaka kuwawakilisha vijana bungeni wengi wambeza sn,walimtukana sn na majina yote akaitwa lkn mwisho wa cku kila mtu aliona umuhimu wake...
Mh JOSEPH MBILINYI(mr sugu)
Alitangaza nia ya kuwawakilisha watu wa mbeya walimbeza sn,walimtukana sn na majina yote aliitwa lkn leo anaitwa rais wa mbeya...
MH VICKY KAMATA alitangaza nia ya kuwawakilisha wanawake weng walimbeza,walimtukana sn na majina yote mabaya wakamwita lkn leo wamama wanajivunia uwepo wake...
Marehemu JOHN KOMBA(Mungu mrehemu) alipotangaza nia ya kuwawakilisha watu wa kwao,weng walibeza,walimtukana na majina mabaya yote walimwita lkn mwisho wa cku watu wake walifurahi kwa uwakilishi wake..
Mh mama yetu Mch GERTRUDE RWAKATALE alitangaza nia pamoja na kuwa na kofia ya utumishi wa Mungu lkn hakuna jina mbaya hajawahi kuitwa lkn leo wana moro huwaambii kitu kwa mama huyu....
NISEME NINI BASI UNIELEWE KILICHOMO NDANI YANGU...MUNGU AKUFUNULIE UELEWE NINI NATAKA KUMAANISHA @wemasepetu.
Bungeni sio nyumba ya ibada kuwa mwakilishi wake lzm asiwe na dhambi.Watz hatuhitaji asie na dhambi kutuwakilisha bungeni.....tunayo tayari makanisa/misikiti ya kuhitaji viongozi wasio na dhambi,Hatuhitaji Wema utuonyeshe njia ya kwenda mbinguni,tunahitaji mwakilishi wa kutusemea matatizo yetu.
HAKUNA ALIE MSAFI CHINI YA JUA,SIO KWASABABU DHAMBI ZAKO UFANYAZO HAZIJAJULIKA WAZI UKAJIHESABIA WEWE NI MWENY HAKI KIASI CHA UTHUBUTU WA KUHUKUMU WENGINE.
Hivi leo Mungu aweke screen ya matendo yetu ni nani miongoni mwetu ATASIMAMA!!!??? Je waliopo bungeni ni wasafi????je hawana dhambi ?je hiyo imewaondolea sifa ya uwakilishi???? @wemasepetu tunahitaji mwakilishi wa kutusemea wanawake,wewe uwezo huo UNAO sina shaka hata chembe ktk hilo.Tuko nyuma yko mama,begakwabega nawe hadi kuapishwa @wemasepetu

Monday, 15 June 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)