Wednesday, 10 June 2015

HAPPY BELATED BIRTHDAY VICKY MGERA

TAREHE 05/06/2015 WAS MY BEST FRIEND BIRTHDAY, I WAS BUSY AND SICK BUT I REMEMBER TO BAKE A CAKE FOR HER. NI MTU MWINGINE MUHIMU SANA KWANGU. NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUWA NA RAFIKI KAMA HUYU AMBAYE YUKO TAYARI KUACHA YAKE ILI AFANYE YANGU. YUKO TAYARI KUTOA CHA KWAKE CHA PEKEE ILI NIPATE MIMI HATA KAMA HANA UHAKIKA KAMA KITARUDI AU LA. HUWA NAHESHIMU SANA WATU WA AINA HII KATIKA MAISHA YANGU MAANA NAAMINI KUWA MUNGU ANAWALETA KWA SABABU. NAKUPENDA SANA NA NAMUOMBA SANA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE BARAKA ZAKE TELE NA AKUONDELEE KILA LILILO LA SHARI. INSHALLAH

 
ILIKUWA NI KWENYE KITCHEN PARTY YA TINA NILIKOMFANYIA SUPRISE HII, KALITOA MACHOZI KIMTINDO HADI RAHA.
 
"THANKS DEAR FOR THIS" NI KAMA ANASEMA VILEEE


 

WE ALWAYS LIKE THIS

VERY NAUGHTY

BUT HAPPY


HAPPY BIRTHDAY SWEETHEART


No comments: