Friday, 2 October 2015

NURU THE LIGHT SAID.......

IGNORANCE AT IT!S PRIMETIME!!!

KUNA UDHALILISHAJI UNAOVUKA MPAKA NA HUU NDIO AN EXAMPLE,,
NA LABDA PIA IT IS HIGH TIME MJIFUNZE NA KUJIELIMISHA KUHUSU  MTU YOYOTE YULE WHETHER A MAN OR A WOMAN KWANI SI WANAWAKE TUU WANAOHANGAIKA KUSHIKA UJAUZITO HATA WANAUME WANA TATIZO LA KU PRODUCE SPERMS,,
KUNA FACTS NYINGI ZINAZOMFANYA MWANAUME AU MWANAMKE KUWA NA TATIZO HILI SASA BADALA YA KUTUKANA AU KUPOINT A FINGER TIZAMA MBINGUNI HATA SEKUNDE MOJA HALAFU FIKIRIA KABLA HUJAANDIKA KUHUSU MAPUNGUFU YA BINAADAM MWENZAKO ESPECIALLY KUHUSU UGONJWA,,

NAJUA KUWA HUU NI WAKATI WA UCHAGUZI NA INAWEZEKANA KUWA KUNA BAADHI YA WATU HAWAJAPENDA WEMA ANAVYOMATTACK MGOMBEA WA UPINZANI NA NDIO MAANA WAKATENGENEZA HIVI LAKINI KUMBUKA KUWA TWO WRONGS DONT MAKE IT RIGHT,,
WATU WENGI MDA HUU WANAFANYA MENGI MITANDAONI WANAJISAHAU KUWA LABDA WAO WENYEWE WANAUGUZA MTU MDA HUU AU WANAJIUGUZA WENYEWE BASI NI VYEMA  TUWE NA MIPAKA AND SOME OF US TUSHAIVUKA HIYO MIPAKA MPAKA TUNAFIKA HUKU,,
MNAAMBIWA HUJAFA HUJAUMBIKA,REMEMBER THAT!!!

No comments: