Monday, 30 November 2015
Friday, 27 November 2015
Thursday, 26 November 2015
HAPPY 71 BIRTHDAY PAPA, LOVE YOU
LEO MWANAUME NINAYEMPENDA KULIKO WANAUME WOTE TOKA SIKU NILIYOANZA KUPATA AKILI NA KUJUA KILA LINALONIZUNGUKA ANATIMIZA MIAKA 71 TOKA KUZALIWA KWAKE, NI MTU MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YANGU KULIKO KITU KINGINE CHOCHOTE CHINI YA JUA. MAANA NISINGEKUWA HAPA NILIPO BILA YEYE KUPIGANA KWA AJILI YANGU. BABA YANGU, KIPENZI CHANGU NA FURAHA YANGU. MUNGU AKUJAALIE MAISHA MAREFU NA YENYE FURAHA TELE NA AMANI. NAKUPENDA SANA BABA YANGU SYLVESTER ANDREA MALEKELA NGALLABA. HAPPY BIRTHDAY DAD.
KINOLE TRIP, AMAAAAAAZIIIIING
PANGAWE
KUPANDA KUKAANZA, NI SHIIIIDAAAAA
YAANI NILIKWA NAJIDAI KUWEKA POZI LA PICHA ILI NIPUMZIKE TU
HOIIIII
SIO KWAMBA NI POZI LA PICHA, NILIKUWA NIMEZIDIWA. HAPA KILA KITU KILIKUWA KIZITO MPAKA NGUO. TEH TEH TEH
KAMA VILE ANGETOKEA MSAMARIA MWEMA ANIBEBE
SUBIRI KIDOGO HAPA NIMEPAPENDA NIPIGE PICHA HAKUNA LOLOTE NILIKUWA NATAFUTA KUZUGA TU
MSAADA ULIHITAJIKA FASTER, NIKAJUTA KWA NINI SIKUACHA POCHI KWENYE GARI.
MWENYE KWAO HABARI HAPATI YAANI UTAFIKIRI ANATEREMKA KUMBE ANAPANDA. NDUKIIIIIIIIII
THAT'S ALL FOLKS
Subscribe to:
Posts (Atom)