ACHANA NA MANENO YA WATU YA KUSEMA UACHANE NA SIASA, URUDI KWENYE SANAA. SIKATAI WEWE KURUDI KWENYE SANAA MAANA NDIPO LILIPO PATO LAKO LA KILA SIKU MAANA HATA KAMA UNGEKUWA MBUNGE BADO UNGEENDELEA NA SANAA ILA PIA USIACHANE NA SIASA MAANA UMEONYESHA MWANZO MZURI ILA TU NAFASI HAZIKUTOSHA SAFARI HII. WEKA MIZIZI IMARA KWENYE ENEO LAKO ILI BAADAYE UCHAGULIWE WEWE NA SIO HAO WENGINE. NAJUA UTABAKI KUWA WEWE TU. MUNGU AKUSIMAMIE DEAR.
No comments:
Post a Comment