KUMENYESHA MVUA KUBWA SANA LEO SAA 12 ASUBUHI, NIKATOKA ILI NIONE NINI KINAENDELEA, NIKAKUTANA NA HIKI. SAMAHANI PICHA HAZIKO VIZURI KUTOKANA NA HALI YA HEWA
NAHISI WAKATI NAPIGA PICHA NILIKUTANA NA RADI, ILA NIMEIPENDA
HAYA NI MAENEO YA KIHONDA
MAJI YALIKUWA YANAKIMBIZANA VIBAYA MPAKA NIKAOGOPA KUSOGELEA
HUU NI MFEREJI ULIOPO NJE YA NYUMBA YETU, UMEFURIKA MBAYA
HUU NI MFEREJI ULIOPO NJE YA NYUMBA YETU, UMEFURIKA MBAYA
ILA MANDHARI INAVUTIA HADI RAHA
KWA SABABU YA KUPIGA PICHA MPAKA TUKAACHWA NA GARI YA KAZINI
MGONJWA WA BARIDI KAMA KAWAIDA YAKE, NA BLANKETI BARABARANI
PUNGUZA UMBEYA KHAAAAAAAA
ONA ALIVYOJIKUNYATA KAMA KUKU MWENYE MDONDO
HAPO SAWA UMEJIACHIA MPAKA UMEPENDEZA
TUKIWA KITUONI TUNASUBIRI GARI
WACHA WEEE, I LOVE THIS PICTURE
KWENYE GARI KUELEKEA KAZINI, NAYO SAFARI UJUE KM15 KILA SIKU!!
MAENEO YA MSAMVU
MAENEO YA NANENANE
OFISINI TAYARI
3 comments:
kumbe ushungi unakukaa nina kk yangu muislm aje uko alone au?
jamani me hata sielewi hapa, kwa hiyo kaka yako anakuja kunioa mimi au ushungi??
weka namba ya cm utajua nani anaolewa
Post a Comment