Friday, 28 June 2013

BINTI AJIFUNGUA BARABARANI

BINTI mmoja aitwaye Josephine Michael mkazi wa Kijiji cha Kiegea nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro, Jumatano iliyopita alijifungua barabarani wakati akikimbizwa hospitalini kwa kutumia usafiri wa bodaboda.
Josephine Michael akiwa barabarani baada ya kujifungua.

Tukio hilo lililowashtua watu wengi lilitokea asubuhi kwenye Kituo cha Daladala Cha Nanenane kandokando ya Barabara Kuu iendayo Dar es Salaam.
Mwandishi wetu alifika eneo la tukio na kumshuhudia askari wa kike wa kikosi cha usalama barabarani ‘trafiki’ (jina lake halikupatikana) akiacha kazi ya kuongoza magari na kugeuka mkunga kwa muda ili kumsaidia binti huyo akiwa sambamba na wanawake wengine na kufanikisha kupatikana kwa mtoto wa kiume ‘dume la nguvu’.

Mmoja wa akina mama waliofika eneo hilo akiwa amembeba mtoto wakati mama yake akihojiwa na mwanahabari.

Awali, wanawake hao walizungusha kanga ili kuweza kuweka usiri wakati wa kumsaidia mwanamke mwenzao alipokuwa akijifungua.
Mara baada ya zoezi hilo kwenda salama, Josephine alisema alipatwa na uchungu alfajiri ya siku hiyo na mume wake aliwapigia simu madereva wa teksi zaidi ya wawili ambao waligoma kufika kijijini kwao kutokana na ubovu wa barabara.
Kulia ni trafiki aliyemsaidi Josephine kujifungua na kushoto mtoto aliyezaliwa akiwa amebebwa.

“Hali ilipozidi kuwa mbaya tuliwasiliana na dereva wa bodaboda ambaye alifika na kunibeba huku mume wangu akitufuatilia nyuma kwa baiskeli yake,” alisema Josephine kwa uchangamfu.
Binti huyo alisema kwamba walipofika eneo la Nanenane hali ilizidi kuwa mbaya akashindwa kujizuia baada ya mtoto kushuka chini, hivyo akamuomba dereva wa bodaboda asimame ndipo alipoanguka chini na hali kuzidi kuwa mbaya.
Wananchi waliofika eneo hilo wakiwa na Josephine (aliyekaa chini).

Baada ya kuliona tukio hilo, trafiki na wanawake wengine waliokuwa jirani wakajitolea kumsaidia hadi alipojifungua salama.
Dereva wa bodaboda aliyembeba Josephine anayejulikana kwa jina la Gitogo Shilagi alikiri barabara iendayo Kijiji cha Kiegea kuwa mbovu.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa baada ya Josephine kujifungua salama mtoto wa kiume.

Thursday, 27 June 2013

ALASIRI NJEMA WAPENDWA

WEEEWEEEE, HADI RAHAA


LEO KIPO LEO.


KAMA NNA MAKENGEZA VILEEE, ANGALIA TENA


HEY GUYS, MISSING YOU MUCH!!!

HII ILIKUWA JUMANNE, NILIKUWA NIMECHOKA TOKA NILIPOKUWA NATOKA HOME.

TOO TIRED

HIVI UNAWEZA KUAMINI KUWA HII SURUALI ILIKUWA INABANA KABISA? ONA ILIVYOKAA HAPO MBELE MPAKA HASIRA

TEGE NALO SASA, MDOMO JEE? PAMPARIKA NYINGIIIIII

MMMMH WE MPIGAPICHA NGOJA NIKAE VIZURI KIDOGO BASII

SIJUI NI POZI AU ANAUMWA SHINGO

NILITOKA KAZINI MAPEMA KWENDA KUSALIMIA NDUGU NA JAMAA, HAPA NDO NAFUNGULIWA MLANGO NA AUNTY LANGU

BAADA YA KUSHINDWA AKAAMUA KUKUMBATIA POCHI YANGU MWANZO MWISHO

MMMMH

VERY CUTE

BEGI LENYEWE LILIKUW ZITO VIBAYAAA

SHUSHA BEGI SHANGAZI, SHITAKIIII


PIGA HUKOOO

HAPA ALIKUWA ANATEMBEA KIMISS, POZI LENYEWE SASA NATAMANI KAMA NINGEREKODI VIDEO.

AWEZHAAAA AWEZHAAAA

Monday, 24 June 2013

MY PLATE, MMMMH I LOVE IT!!!

HALAFU NIACHE KUWA KIBONGE, THUBUTUUUUU. KITU CHA MAKANDE HAPO KATI

YUMMY!!!

MONDAY'S QUOTE


NAZIKUMBUKA ENZI HIZI, KWELI KWISHA KUPO.

UZEE TAYARI JAMANI, JANA NIMEZITAZAMA HIZI PICHA NIKAJITAMANI KWA KWELI. NATAMANI KUWA MALAIKAAA, NATAMANI TENA KURUDI NYUMAAA, NATAMANI NIWE KAMA ZAMANIIII, NATAMANI NIWE KAMA MTOTOOOO. IN LADY JD VOICE.

YAANI HADI RAHAAA


UTAFIKIRI SIO MIMI VILEEE

MTOTO MLITOOO


CUTE


JINO SASA KAMA JEMBE, HALAFU ETI NILIKUWA NA MWANYA, MBONA SIKU HIZI SINA? AU NDO NIMENENEPA MPAKA MENO??

KATOTO KAZHURIIIII

WACHA LIPS SASA

YAANI KILA NILICHOKUWA NAFANYA KILIKUBALI



HEBU TUCHEKE PAMOJA

GOOD MORNING MONDAY

HIVI HAIWEZEKANI JUMATATU IKAONGEZEKA KWENYE WEEKEND?? I HATE MONDAYS. BASI JANA NILIENDA KUBADILI MUONEKANO WA NYWELE KIDOGO, THANKS FOR THE OFFER VICKIE THE BRIDE TO BE.
BAADA YA KUOSHA NA KU SET ZIKAWA ZINAONEKANA HIVI, UTAFIKIRI ZINA DAWA KUMBE JINJA.COM

NILICHANGIWAJE SASA? ILA ILINISAIDIA

WATU WAKO BUSY VIBAYA

MSUSI WEE MAPOZI HAYO SIJUI NDO YA KICHAGA??

PICTURE MOMENT, KITAMBI SASA

ILA HII ILIKUWA SIKU ILIYOFUATA UJUE MAANA SIKU YA KWANZA TULICHELEWA SANA KUANZA


BAYAAAAA, KUNA KIPINDI NIKIWA FORM 2 NILIWAHI KWENDA OFISINI KWA MAMA MWENZIE AKAMUULIZA HIVI HUYU MWANAO UMEZAA NA MMASAI?? MAANA ANA SURA NDEFU KAMA MASAI. NILINUNAJE??? ILA NAANZA KUAMINI

BACK TO WORK

BUSY  MBAYA

AFTER KILA KITU

MY NEW LOOK. THANKS VICKY