Friday, 21 June 2013

SIKU NILIYOZIBA JINO HALAFU NIKAVIMBA USO

SIO KWAMBA KAZI ILIKUWA MBAYA ILA SIJUI ILIKUWAJE NIKAJIGONGA KWENYE MASHINE ILIYOKUWA INANISAFISHA MENO, NAHISI KWA SABABU YA UOGA
NILIKUWA NATILISHAJE HURUMA SASA KWA UOGA

NIONEENI HURUMA BASI JAMANIIII

USICHUNGULIE HUWEZI KUONA


NIKAWEKWA TAYARI MMMMHHH

DOCTOR AKIJIANDAA, ME HOFU JUU

OKAYY


KAMA KUNA SIKU NILIWAHI KUTANUA MDOMO HII ILIKUWA INAONGOZA


NILIKUWA NASISIMKA MWILI MWANZO MPAKA MWISHO WA ZOEZI

NIHURUMIEN MWENZENU KHAAAAA

NILIKAA NIKIWA NIMETANUA MDOMO MPAKA NIKASAHAU KAMA NINA MDOMO UNAOFUNGA.


SIO FRIDGE HII NDIO MASHINE YA KUSAFISHIA MENO. SIJUI HATA INAITWAJE

BAADA YA SIKU MBILI MAMBO YAKAWA HIVI

NILIPENDEZA EEEE

USO UKANENEPA UPANDE MMOJA. SALAMA NILIKUWA LIKIZO ILA BAADA YA SIKU MBILI NIKAWA KAWAIDA

GOOD DAY

No comments: