BAADA YA LUNCH NIKATOKA KWENDA BUSTANINI KUPATA HEWA SAFI SI UNAJUA KUTWA KWENYE TUMBAKU?? ILA NI BUSTANI NI HAPAHAPA KIWANDANI.
LEO NIKO KWENYE MOOD YA PICHA PICHAAAA
MDOMO SASA DUH, MAPOZI MENGINE SIYO KABISAAAAA
AFADHALI KIDOGO
SIJUI MIMI BWANA AAAAH
SINA GAGARINO BABU WEEEEEH
MY BACK, MMMMH MY MOTOROLA BAPA
ILA ME KIBONGEEEE DAH!!!
TEGE SASA MWANAWANE
SIO MIMI MPIGAPICHA HUYOOO
GOOD AFTERLUNCH BANDUGU KWI KWI KWI
No comments:
Post a Comment