HATA MWAKA HAUJAISHA TOKA TUMPOTEZE KAKA MKUBWA MWALIMU ISSA, LEO TUNAPOTEZA MTU MWINGINE MUHIMU KATIKA FAMILIA. MPIGANAJI MWINGINE TENA AMELALA MILELE WAPENDWA. KWETU SISI HILI NI PIGO ZAIDI YA PIGO. SIPATI NENO SAHIHI LA KUELEZEA UCHUNGU WANGU ZAIDI YA KUSEMA I CAN'T TAKE IT ANYMORE. OOOOH LORD HAVE MERCY!! TUTALIA MPAKA LINI SISI?? NAOGOPA SANA KUKUFURU MUNGU WANGU ILA NAHISI NDIKO NINAKOELEKEA. NISAMEHE MUNGU WANGU ILA TUHURUMIE PIA BABA. NANI ATASIMAMA NA SISI KAMA WAPIGANAJI WOTE WANAONDOKA??? LALA SALAMA KAKA YANGU MPENZI NA NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AKUPUNGUZIE ADHABU YA KABURI.
KAKA FUNDI MWENYE FULANA YA MISTARI
KAKA YANGU ALIKUWA SPORTSMAN PIA, ALICHEZA KAMA GOLIKIPA SIKU ZOTE. NAKUMBUKA SIKU ALIYOKUJA KUNIONYESHA HII PICHA NILIKUWA NAPIKA JIKONI, HE WAS LIKE, ULISHAWAHI KUTOLEWA KWENYE BLOGU WEWE NA KUCHEZA KWAKO KOTE MPIRA?? CHEKI MIMI HAPA KWENYE MICHUZI BLOGU. HE WAS SO FUNNY, CARING AND SHARING.
KAMBAKU LETU JAMANI, HEBU ONA HAPA ALIKUWA BONGE YA MTU. WA KWANZA MWENYE FULANA NYEKUNDU. R.I.P BROTHER
No comments:
Post a Comment