Monday, 11 August 2014

TANZANIA NZURI JAMANI, NAIPENDA NCHI YANGU HEBU TUTEMBEE TUONE JAMANI

WEEK END HII ILIKUWA NDEFU UJUE, HAPA KAZINI KWETU TUKAPANGA SAFARI YA KWENDA UDZUNGWA LAKINI KUTOKANA NA MAMBO KUINGILIANA WENGINE TUKASHINDWA KWENDA. ILA TULIFIKA KWA PICHA. TWENDE PAMOJA
MELELA, YAANI HAPA SAA MOJA KAMILI ASUBUHI NYAMA IMESHAANZA KUCHOMWA. HALAFU YA UHAKIKA SASA





MIKUMI



SUGAR CANE PLANTATION - RUHEMBE






RUAHA DARAJANI


TWIGA HOTEL




UDZUNGWA FALLS
















UDZUNGWA FALLS LODGE



 
I PROMISE MYSELF KWAMBA LAZIMA NIENDE KWA KWELI. MUNGU NISAIDIE

No comments: