Tuesday 26 March 2013

LUNCH TIME, KARIBUNI

HII NDIO PLATE YANGU YA LEO.

HAPA INAONEKANA VIZURI KIDOGO.

BAADA YA MSOSI NIKALETEWA HII KITU, MNYAMWEZI WA WATU MIE NA USHAMBA WANGU.


2 comments:

Anonymous said...

mashokolo mageni hayaaaa! Now naanza kuelewa y kila cku unazidi kuwa kibonge..... Chibongeee kupunguza kula ndg yangu utapasuka.!!!

Winnie Ngalaba said...

mmmh, ngoja nijaribu ila sijui kama nitaweza. kama kula ni kunenepa kuna watu wanakula sanaaaa ila hawanenepi?? haya mwaya nitajaribu. thanxxx