Wednesday 22 May 2013

DAKTARI WA MACHO KITUO CHA AFYA SABASABA AJINYONGA KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI CAMEL MOROGORO.

Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha afya Sabasaba wakiangalia mwili wa marehemu Dk Anold Limo ambaye alikuwa daktari wa macho ukiwa chumba cha kuhifadhia maiti baada ya kudaiwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni ya Camel iliyopo Nkomola Kihonda usiku wa kumkia leo Manispaa ya Morogoro. 
Sehemu ya wafanyakazi wa kituo cha afya Sabasaba wakijadili jambo nje ya chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro.

No comments: