Saturday 15 June 2013

SHIKAMOO ANACONDA, SINA SWALI KILA KITU KINAJIELEZA

Umati wa watu ukishuhudia show ya Lady J Dee Nyumbani Longe.

Lady J Dee akitoa burudani ya kutosha kwa mashabiki.

Professa Jay akiwa back stage anakijiandaa kupanda jukwaani kutoa burudani nzuri kwa mashabiki

Miaka 13 ya Lady j Dee Mh.Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu
Lady J Dee akitoa burudani ya kutosha kwa mashabiki.

Lady J Dee akitoa burudani ya kutosha kwa mashabiki.

Team Times Fm 100.5 (Dj Jors Bless,Ndimbo na Mariam)

Sugu na Mkoloni wanatoa burudani kali kwa mashabiki.

Mama mzazi wa Lady J Dee naye amekuja kushuhudia show ya mwanae.

Juma Nature anatoa burudani kwa mashabiki

Sugu akitoa burudani kali kwa mashabiki

M 2 The P akiongea machache baada ya kukaribishwa kwenye jukwaa na Juma Nature.






Credit: zeddylicious


HAPO CHINI NI PICHA CHACHE ZA SHOW YA THE FINEST YA MWANA FA


Click image for larger version. 

Name: uploadfromtaptalk1371290986767.jpg 
Views: 0 
Size: 24.4 KB 
ID: 97681

No comments: