Wednesday 16 October 2013

HAPPY BIRTHDAY MY LIL ANGEL, MY LIL SIS, MY LIFE AND MY EVERYTHING ANNA.

HAPPY BIRTHDAY ANNA.

SIJUI WAPI NIANZIE MPENZI WANGU, LABDA NISEME NAMUOMBA SANA MUNGU AKUJAALIE AFYA NJEMA NA NGUVU ILI UWEZE KUISHI MAISHA MAREFU ZAIDI. NI BIRTHDAY YAKO YA KWANZA WITHOUT MUM, ILA NATAMANI KAMA TUENGEPATA SECOND CHANCE WITH MUM ILI AONE ULIVYO GROW UP ANNA. MUM, ANNA AMEKUWA MKUBWA KIASI NASHINDWA KUAMINI KUWA NDIYE ULIYENIACHA NAYE MIEZI TISA ILIYOPITA. NAJUA UNAONA ILA NAHISI MM NAMUONA TOFAUTI ZAIDI KWANI NDIYE AMEKUWA MLEZI WETU SOTE. NDIYE MAMA YETU KWA SASA  NA ANAYEANGLIA KILA KITU MPAKA BABA. ASANTE SANA MAMA KWA KUNISAIDIA NA KUMFANYA HUYU KADADAAA KUWA MAMA YETU. ANNA, NAOMBA SANA MAMA YANGU ENDELEZA MOYO NA UPENDO ULIONAO, WEWE UMEKUWA KILA KITU KWENYE MAISHA YANGU. WEWE NI ZAWADI KUBWA AMBAYO MAMA YETU KANIACHIA. UNAKUMBUKA MAMA ALIVYOKUWA ANASEMA KILA SIKU? MMEZALIWA WAWILI KAMA MACHO HIVYO NI JUKUMU LENU KULINDANA ILI MSIPOTEE. JICHO MOJA LIKIHARIBIKA MAISHA NAYO YANAHARIBIKA ANNA. NI WAJIBU WETU KUTUNZA HAYA MACHO MAMA YANGU ILI TUENDELEE KUSIMAMA KAMA MAMA ALIVYOTAKA. PIA UKUMBUKE SIKU ZOTE NIPO PEMBENI YAKO KWA KILA KITU MPENZI WANGU. COUNT ME FOR EVERYTHING. I LOVE YOU VERY MUCH LIL ANGEL AND A VERY HAPPY BIRTHDAY CHIBEEEEE


KUNA MTU ANASEMA TUMEFANANA ETI KWELI?? KWANI ME MBAYA KA WEWEEE?

4 comments:

Anonymous said...

Wacha weeeeee!! b'day yake imekaa vizuri imeungana na sikukuu, mungu ambariki aishi maisha marefu na yenye kumpendeza mungu, HAPPY B'DAY CUTE.

Anonymous said...

chantee dada n the very important lady i hav in dis world.. U made me cry alot coz last yr it was ma first bday to celebrate with both dady n mum... Jioni ka ss hz she bought me a very big ice cream and told me that is ma birthday gift. She also wished me best of lucky in ma life n said my life shuld b sweet n luvly jst lyk the icecream she bought for me as ma gift... I real miss her especially today coz she used to be first to wish me a happy bday n she neva forget that..... Mom werever ua jst remember n hear this... I MISS U SO MUCh n THX FOR GIVING ME LIFE.. I luv u mom.

Anonymous said...

asante sana... From Anna.

Winnie Ngalaba said...

my dear, everything happens for a reason, so wipe off your tears and thank God for everything that happen to us. as long as God grant us his life we have to thank him and go on. I miss mama too everyday, i wish and i mean it that i really wish to have second chance with her and tell everything which i forgot to tell. Miss you much mama and I love you much Anna.