POLE SANA LUIZ, UMEBEBESHWA JAHAZI LILILOTOBOKA

Kiulaini: Thomas Muller akifunga bao la kwanza baada ya mabeki kukosea kukaba mpira wa kona

Kipigo cha mbwa mwizi: Scolari akizungumza na wachezaji wake baada ya kufungwa mabao 7-1 na Ujerumani.

Jukwaani nako hali ilikuwa mbaya sana

Hakuna kwa kujificha: Marcelo baada ya dakika 90 kumalizika.

Pole kaka!: Miroslav Klose, aliyefunga bao la pili akimtia moyo Luis Gustavo

Raha: Toni Kroos alifunga bao la tatu na la nne

Tano hizo: Sami Khedira akifunga bao la tano kabla ya nusu saa

Mabeki wa Brazil walicheza maboya sana

Mmaliziaji: Andre Schurle, alifunga mabao mawili ya mwisho ya Ujerumani, huku mchezaji mwenzake wa Chelsea Oscar akifunga la kufutia machozi.

Kijana umenizingua na uzee huu!: Scolari akizungumza na kocha wa Ujerumani, Joachim Low
No comments:
Post a Comment