Thursday 25 May 2017

R.I.P IVAN SEMWANGA













Huu ni mtihani mkubwa tena usioelezeka wala kuzoeleka katika maisha yetu ya kila siku, eeee Mwenyezi Mungu wape faraja watoto na mama yao katika kipindi hiki kigumu. Ni wewe tu unayeweza kuwafariji na mwingine, pia ndugu zangu watanzania huu sio wakati wa kumjaza maneno mabaya na makali Zari tujitahidi kuwa waungwana kidogo. Sisemi kuwa sio waungwana ila kuna wanao potoka. Pole sana Zarinah Hassani Mungu akutie nguvu ya kushinda maana hili nalo litapita.

No comments: