FRANK IBRAHIM A.K.A ABDUL
MAMIE MWALI NEEMA
ALIYEPIGA PICHA HII ALIKUWA ANATAFUTA NINI? ILA KAMA KIPO KIPO VILEEE
MIMI MIWANI HII SIJAOMBA MJUE KAMWAMBIENI DOCTOR
WANAPOKUWEPO HAWA WADADA HAKUNA KINACHOHARIBIKA
BIBI AKIMTOA MJUKUU WAKE NJE
BABA WA UBATIZO AKIWA NA MWANAE
MJOMBA WA FRANK
MIMI SIMOOO
MWENYEKITI WETU SIYE HUYOO, SIJUI NDO KAREMBUA AU???
THE MC
THE WAGENI WAALIKWA
THE BIBI AND THE MAMA
ME, MYSELF AND I
WITH OLIVER
THE KISS FROM MAMA DEAREST
WADADA HAWA MMMMH SINA CHA ZAIDI. MUCH LOVE
WAKIPELEKA ZAWADI
SI WAKAGOMA KUTOKA ETI WANATAKA KUCHEZA KWAITO
DJ HAKUWA NA HIYANA AKAWAPOROMOSHEA MOJA MPAKA WAKAZIMIWA MZIKI
KAMA SIO MIMI VILEEE,
THE CAKE, NIMTUME NANI? NITUME MIMI BWANA
KATA KEKI TULEEEE
MSAADA KIDOGO
MAELEKEZO YA NINI CHA KUFANYA
WAKILISHANA NA MPAMBE WAKE
AKIMLISHA BABA WA UBATIZO
ZAMU YA MAMA MZAZI
ZAMU YA WIFE A.K.A BIBI
MAMA MDOGO NAYE HAKUBAKI NYUMA
ZAMU YA MJOMBA
ZAMU YA MWENYEKITI WETU AKITUWAKILISHA WANA KIKUNDI
ZAMU YA MAMA MKUBWA
EEEEEH INATOSHA JAMANI MNATAKA MLE WOTE??
MAMAA KUBWA BUSY AKIANDAA KEKI
DA JOY NIDAIDIE KUULIZA KWANI KUNA MWINGINE ALIBAKIA HAPO JIRANI??
NAMAANISHA MDOGO WAKE NATHAN
HIVI HUYU ALIYEPIGA HAPA NAPOOOO, MMMH ME SIJUI ILA MAMA BOSS MASHALLAH
CHOKA MBAYA
WADADA BUSY HADI RAHAAAAA
IKAFIKA ZAMU YA WAANDAZI, NITAWAWEKEA PICHA NYINGINE UONE MILIMA YAO
MWANAMKE WA SHOKA HATAKI UCHAFU, VIVA LA MWENYEKITIIIII
WENGINE WAKASHINDWA HADI KUINUKA DUUUH
3K ME SIKUSOMI UJUE, POZI GANI HILOO
MALIZA WEWE MIE NIMELIONA
MAJANGA HAYA JAMANI, BADO KUNA PICHA ZAKE ZINGINE NZURI ZAIDI
LA FAMILIA
MMEMUONA HUYO MUHARIBIFU WA PICHA NA MIDOLE YAKEE??
SISTERS
ISIWE TABU NGOJA NISYOSHE MGONGO MIEEEE
HADI WAKATI MWINGINE BYEEEEE
No comments:
Post a Comment