Monday, 16 September 2013

JAMANI EEEEH MSISHANGAE NILIKUWA KWENYE MAANDALIZI YA FIESTA WIKIEND HII, MWEEEEEEH

HIKI NDIO KIVAZI NILICHOCHAGUA, NILIPATIA EEEEEH, KWI KWI KWI

MCHANGANYIKO WA RANGI JE? SI WA KIFIESTA EEEH NA MIE NIMOOO

BASI NIKAFANIKIWA KUKATIZA MAENEO YA UWANJA WA JAMHURI, HAO WATOTO HAPO NJE MPAKA ROHO INAUMA

NYOMI BAYA, HIVI FIESTA NI TAMASHA LA WATOTO ZAIDI, MAANA WALIKUWA WENGI HAOOO

KITU CHA MTOKO


UMEMUONA MTOTO ALIYEKO MBELE KWENYE FOLENI YA TIKETI? NADHANI UMENIELEWA SASA

HAPA SIKUMPATA VIZURI ILA KUNA KA BWANA MDOGO HAPO NA DADA ZAKE, ILA NAHISI NI ZILE STYLE ZA WAZAZI WANASEMA KAMA UNATAKA KWENDA BASI UENDE NA MTOTO. MWENYEWE UNAONA UNAMKOA UNAYEMWAMBIA AENDE NA MTOTO KUMBE UNAMTESA MTOTO MWENYEWE. ATAACHWA KWENYE KITI MWANZO MWISHO AKING'ATWA NA MBU.

WAKATI NARUDI KUTOKA KWENYE MIZUNGUKO YANGU HALI BADO ILIKWA HIVI, NYOMI BAYA ACHANA NA NILIOKUWA NAPISHANA NAO NJIANI

SORRY PICHA SIO NZURI SI UNAJUA KAMERA YANGU TOKA ENZI ZA MKOLONI

No comments: