YAANI HOMA IMEKUWA IKIPANDA MARA KWA MARA MPAKA NAKOSA RAHA. NA INAPOSHUKA MIE NABAKI NIMEPONDEKA VIBAYA. NIMEMEZA DAWA TOKA JUMAMOSI LAKINI MPAKA LEO ME BADO NAUMWA, SIELEWI MJUEEE
ILA MUNGU YU MWEMA NAJUA NTAKAA SAWA TU SIKU MOJA KWA MAPENZI YAKE. TUOMBEANE WAPENDWA. MUCH LOVE
No comments:
Post a Comment