Saturday 20 April 2013

HAPPY BIRTHDAY TO MY LOVELY SISTER & FRIEND JOYCE

I probably don't tell you often enough, but I treasure our friendship. Friends like you make every day special! Wishing you happiness today, tomorrow, and always!

LUV YOU MAMA MAC!!

NI MTOAJI NASAHA MZURI PIA.



SHE IS ALWAYS HAPPY

NA MWENYE VITUKO VILIVYOPITILIZA, HAYO MAANDISHI UNAYOYAONA KWENYE HIYO PICHA NDICHO ALICHOKISEMA, YOU KNOW WHAT SIS, TUNATANGAZA KWELI LEO.

HAKIKISHA KIPANDE KINAKUWA KIKUBWA KULIKO VYA WOTE

SHE IS VERY QUTE, JUST LOOK AT HER!!

NA UROHO PIA ANAO HAPA ALIKUWA ANDOWEA JUICE YA MGONJWA HOSPITAL, NO MAANA NIKASEMA ANA VITUKO VILIVYOPITILIZA.



UNIPE KIPANDE KIKUBWA HUKO

SHE IS VERY FUNNY!!

AND A CARING SISTER TOO.

HAPPY BIRTHDAY SWEET PIE.

Our friendship is the pillar of foundation in my life
Thanks for supporting me all the time
Happy Birthday

No comments: