Thursday 6 August 2015

MAMBO YANAANZA KUWA MAMBO, UONGOZI NYIE CHUKUENI ILA AMANI YETU TUACHIENI

 
 
 
Lipumba anasema UKAWA ilianzishwa kwa lengo la kusimamia rasimu ya katiba mpya kutokana na maoni ya wananchi sasa wenzetu wamegeuza UKAWA kwa kuleta mtu ambaye alishiriki kupitisha katiba pendekezwa ambayo siyo maoni ya wananchi hivyo kiongozi atakayeshinda kupitia UKAWA hawezi kusimamia maoni ya wananchi ya rasimu iliyopendekezwa na Warioba.

No comments: